HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ooh kwahiyo unafanya kazi huku unasoma? Usiache tu kazi maana utumishi hawachekeshi! Mimi niliomba assistant mwaka jana wakachukua watu wa3 tu!
Ntajitahid kaz zetu za ualimu muda mwingi tunapiga umbea siku nyingne unakuta huna kipindi kabsa na sku nyingne ni kimoja na siku unayotingwa ni moja
 
Back
Top Bottom