HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nawaombea ndugu zangu wote mnaopambana na usaili wa PSRS. Mwenyezi Mungu awape hitaji lenu. Usaili unaofanya sasa upate kazi.

Najua msoto wa kukaa mtaani. Najua unahitaji kazi kwa ajili ya kuiinua familia yako. Mungu akusaidie.
 
Kaka nakumbuka hustle zako kipindi hiko ulikua hukosi jukwaani najua Mungu ni mwema sana utakuwa ume settle unakula buyu la asali hapo ikulu
 
Wee seran mambo ya waalimu mpaka waliandamana unafanya masiala na vyuo bado vinaendelea kutoa koz za waalim bado. Najua kada zetu ngumu lkn sisi tushaandaliwa kisaikolojia toka tupo chuoni
Imagine na nafasi zao sasa hivi ni kama marathon! Eti eeh, umesoma coz gani?
 
Personally mimi ntalia sana hiyo siku haijalishi nipo kazini sijui wap ntapiga goti na kulia sana sana tena saaana ntabubujikwa na machozi ya furaha kama LUCAS MWASHAMBWA akimuona rais samia
Lohh!!🤣

Mimi mwaka jana nilikuwa nikiona mkeka mpya tu najiandaa kuscream kwa furaha na machozi mpaka majirani wasikie! Bure kabisa!😞
 
Back
Top Bottom