jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,900
- 14,933
Na iwe hivyo mkuu
Siku niingie online kwa Acc nikutane na placement letter ntalia sana
Siku niingie online kwa Acc nikutane na placement letter ntalia sana
kwa huu mtiti lazima mchozi ujaze ndoo..Siku niingie online kwa Acc nikutane na placement letter ntalia sana
🤣🤣🤣🤣🤣So kwa msoto huuSiku niingie online kwa Acc nikutane na placement letter ntalia sana
Wako busy sijui na nini kk yaani wametulia tuliSekretarieti ya Ajira tuhurumieni wakuu 😀😀😀😀
Watu tuna njaa ,kitaa hakielewekiWako busy sijui na nini kk yaani wametulia tuli
Kk an tunamaliza mb kwa page yaoWatu tuna njaa ,kitaa hakieleweki
Na PHTS 1.1 ni sawa na sh ngapi mkuu?Mfano instructor (from tutorial assistant up to senior lecture) kila mwaka wanatoka nje kuwasupurvise wanafunzi field..kila staff anachukua almost 1.8m+...Kuna za kuusimamia paper..kumark..kusimamia final year..senior lecture wanapewa pia na housing allowance.....kwa technical hawa wa puss(kuna posho za kuandaa lab)....mitihan pia sometimes wanasimamia....posho za sikukuu..posho za research kama ulikuwa engaged kama technical kweny hyo research..kusafiri utasafiri sana kama unajua vitu au upo karibu na ma prof wenye project kubwa kubwa..hii nmesema nna ushahidi nayo
Hii week tuisamehe tu, tufatilie next weekNaona call for interview tu ngoja jioni labda ka pdf kanaweza toka
Kwa kweli hii week ishaisha kabisa lkn inaweza kuwa dk za jiooooooooni kama azamHii week tuisamehe tu, tufatilie next week
we si ulishapataga kazi?Naona call for interview tu ngoja jioni labda ka pdf kanaweza toka
Wapi nilipata mkuu?? Epuka matapeliwe si ulishapataga kazi?
🤣🤣🤣Sekretarieti ya Ajira tuhurumieni wakuu 😀😀😀😀
Mungu yupo. Bila kuchokaMuwe na asubuhi njema wasaka tonge