Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,117
- 101,008
Leo hakuna ratiba ya makande shoga?nilikua namalizia kukamua maziwa jamni 😢
Leo hakuna ratiba ya makande shoga?nilikua namalizia kukamua maziwa jamni 😢
hapana leo ni mwendo wa maziwa na maandazi😋 karibuLeo hakuna ratiba ya makande shoga?
Jamani naombeni mualiko nina miaka sijanywa maziwa unajua eeh☺️hapana leo ni mwendo wa maziwa na maandazi😋 karibu
njoo nitakugawia ya kwangu kidogo, maana ninayo ya kutosha👌🤣Jamani naombeni mualiko nina miaka sijanywa maziwa unajua eeh☺️
Sitaki ya binadamu nyoh!njoo nitakugawia ya kwangu kidogo, maana ninayo ya kutosha👌🤣
😂njoo nitakugawia ya kwangu kidogo, maana ninayo ya kutosha👌🤣
haya ni mchanganyiko🤣🤣Sitaki ya binadamu nyoh!
Shenzi kamua tukauze😅haya ni mchanganyiko🤣🤣
Mujaarabu kabisa bila mawenge tena njozi aiseeLeonce ulipata usingizi kweli leo😁
Usituache tunakutaka aisee 😄mpambane wenyewe na hali zenu😀
nisha wachoka🤣Usituache tunakutaka aisee 😄
Kwa BOT pale wote GPA 3.5 inaanza na hio hirizi ikidondoka mbele ya panel muombe tu Mungu aisee kila jambo na wakati wakehivi jamani kwa huu mtiti halafu ujikute umeitwa BOT si ndo mwanzo wa kua chizi huo...
nitafutie wateja😇Shenzi kamua tukauze😅
Usichoke mambo mazuri yanakuja wallah kuwa na subiranisha wachoka🤣
ukiitwa BOT naomba unishtue nikupange upangike 👊hivi jamani kwa huu mtiti halafu ujikute umeitwa BOT si ndo mwanzo wa kua chizi huo...
nitakua nachungulia kidogo kidogoUsichoke mambo mazuri yanakuja wallah kuwa na subira
Sawa ngoja tuone na leo kama ipo ka PDF la MDAs na LGAs yaanze pianitakua nachungulia kidogo kidogo