billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,496
- 1,757
Lipo wapi hilo pdfKuna PDF jengine huko limetoka mapemaa kabisaaa
Lipo wapi hilo pdfKuna PDF jengine huko limetoka mapemaa kabisaaa
Acha uongo kwenye vitu vya msingi mkuuKuna PDF jengine huko limetoka mapemaa kabisaaa
Mimi ningejizika kwanza kwa kutokuamini!hivi jamani kwa huu mtiti halafu ujikute umeitwa BOT si ndo mwanzo wa kua chizi huo...
Una nini lakini🤣interview inayokuja naingia na hirizi kama mbway mbway
Kumbe! Basi ukianza kuweweseka tu ujue pamekaribia kukucha!Mujaarabu kabisa bila mawenge tena njozi aisee
Watu wana zaidi ya hapo na hawapitishwi na kamati!Kwa BOT pale wote GPA 3.5 inaanza na hio hirizi ikidondoka mbele ya panel muombe tu Mungu aisee kila jambo na wakati wake
Si ndio hawa wameshakuja!nitafutie wateja😇
Hahaa usikute walifail writtern na oral hakufanya vyemaWatu wana zaidi ya hapo na hawapitishwi na kamati!
mie GPA yangu ni zaidi ya hiyo lakini ndo kama nimewauzi utumishi sasa maana nakandwa vibaya mno....Kwa BOT pale wote GPA 3.5 inaanza na hio hirizi ikidondoka mbele ya panel muombe tu Mungu aisee kila jambo na wakati wake
Kka nimecheka kwa sautimie GPA yangu ni zaidi ya hiyo lakini ndo kama nimewauzi utumishi sasa maana nakandwa vibaya mno....
Kufail wapi au kutofikia pass mark?Hahaa usikute walifail writtern na oral hakufanya vyema
Tulia wakunyooshe! Umewasema sana humu🤣mie GPA yangu ni zaidi ya hiyo lakini ndo kama nimewauzi utumishi sasa maana nakandwa vibaya mno....
mie kuna mwanangu nilimaliza nae chuo alipata GPA zaid ya 4.5 mpaka wazungu wakampa scholarship akasome masters alivyorudi bongo akajichacganya na utumishi alikandwa mchana kweupee interview nne hakufika hata oral bahati nzuri sasa hivi kaajiriwa migodini uko anakula mema ya nchi.sasa hivi ukimwabia habari za utumishi anaweza kukupiga hata kofi..Kka nimecheka kwa sauti
mtu anaetoboa hizi interview za utumishi mungalie mara mbilimbili.wengine wanatumia ndagu....Tulia wakunyooshe! Umewasema sana humu🤣
Utumishi hawarogeki labda kuna wasongo walioshindikana plus wajukuu wa wakubwamtu anaetoboa hizi interview za utumishi mungalie mara mbilimbili.wengine wanatumia ndagu....
Utumishi wanaweza kukufanya ujione we ni fala tangu dunia iumbwe!😅mie kuna mwanangu nilimaliza nae chuo alipata GPA zaid ya 4.5 mpaka wazungu wakampa scholarship akasome masters alivyorudi bongo akajichacganya na utumishi alikandwa mchana kweupee interview nne hakufika hata oral bahati nzuri sasa hivi kaajiriwa migodini uko anakula mema ya nchi.sasa hivi ukimwabia habari za utumishi anaweza kukupiga hata kofi..
Utumishi konyomie kuna mwanangu nilimaliza nae chuo alipata GPA zaid ya 4.5 mpaka wazungu wakampa scholarship akasome masters alivyorudi bongo akajichacganya na utumishi alikandwa mchana kweupee interview nne hakufika hata oral bahati nzuri sasa hivi kaajiriwa migodini uko anakula mema ya nchi.sasa hivi ukimwabia habari za utumishi anaweza kukupiga hata kofi..
kwakweli yaani mtu unajiuliza nafelije maswali ya multiple choice kumbe tatizo ni waoUtumishi wanaweza kukufanya ujione we ni fala tangu dunia iumbwe!😅
Na PDF ya jana hakuna kiumbe hata mmoja wa humu atupe shuhuda, au sie members wote wa humu ni fungu la kukosakwakweli yaani mtu unajiuliza nafelije maswali ya multiple choice kumbe tatizo ni wao