HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Zinakera hizi selected for oral interview,mwezi wa pili huu unaenda kimya hawajaita watu kazini.
 
Attachments

  • Screenshot_20260621_160643_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20260621_160643_Opera Mini.jpg
    65.5 KB · Views: 12
Kaza buti kijana siku yako ipo inakuja ata sisi tuliofanikiwa msoto ulikua. Huo au zaidi ya huo,
Amini ushindi uko jirani endelea kupambana bila kuchoka
I wisj you all the best in ur struggling comrade
Tunatiana moyo lkn behind the scene mambo ni tough sana mpaka unaomba poo. Kuacha upumzike kidg uendelee na mambo zingine
 
PSRS TUMSIFU YESU KRISTO. Bora tupumzike tu no placement no vacancies hizi stress zake nusu nichukue kamba au ile dawa ya panya unaweza jiona huna akili kabisa Mwifwa Mbaga Jr Seran kyagata MKANGAFFU El marabiosh View attachment 3612561
Kuna ile hali ambayo unaingia kwenye ajira ukiwa na ndoto za milioni 500.
Baada ya miaka 5 unajikuta unafurahia kuishi mpaka mwisho wa mwezi bila kukopa.
Ndipo unaanza kuelewa kuwa baadhi ya kazi haziui ndoto zako ghafla.
Huzinyonga taratibu.
 
Hili nalo neno
 
Back
Top Bottom