Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 3,214
- 5,283
Wa mwezi wa 4Kama ulifanya usaili kuanzia tar 17/05 kuendelea mbele uwe mvumilivu pdf ni mpk mwezi 7 huko mbele mbele😀😀
Wa mwezi wa 4Kama ulifanya usaili kuanzia tar 17/05 kuendelea mbele uwe mvumilivu pdf ni mpk mwezi 7 huko mbele mbele😀😀
Sekretarieti ya Ajira ni ya kweli haya?Kama ulifanya usaili kuanzia tar 17/05 kuendelea mbele uwe mvumilivu pdf ni mpk mwezi 7 huko mbele mbele😀😀
Wa mwezi wa 4 kkKama ulifanya usaili kuanzia tar 17/05 kuendelea mbele uwe mvumilivu pdf ni mpk mwezi 7 huko mbele mbele😀😀
Aaa kwanza mbele mbele wapiKama ulifanya usaili kuanzia tar 17/05 kuendelea mbele uwe mvumilivu pdf ni mpk mwezi 7 huko mbele mbele😀😀
😄 🤣 😂 😆 tutanyooka round hii aisee mwez wa 3 huu hakuna pdfhawa wajinga kwenye call for interview pale wako radhi wapost mkeka wa mwaka juzi ila pasiwe
Usichoke mkuuMimi nishajitoa wana mambo ya ajabu sana!
Never give up the good day is comingMimi nishajitoa wana mambo ya ajabu sana!
Imagine nimefanya interview 5! Kulikuwa kuna kazi inanibana, jmos sikuweza kupewa ruhusa miezi yote miwili ikanibidi niidrop hiyo kazi ili nipambane nao perpendicular, guess what….!Sasa unamwachia nani pambano lako mkuu. Twende hakuna kulud nyuma no retreat no surrender mpka kieleweke. Lkn pia ni vitu gani vya ajabu vilivyokukuta ndugu Seran
NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEWImagine nimefanya interview 5! Kulikuwa kuna kazi inanibana, jmos sikuweza kupewa ruhusa miezi yote miwili ikanibidi niidrop hiyo kazi ili nipambane nao perpendicular, guess what….!
Hii inaumiza basi tu!NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW
Mimi naona aibu ku log in mbele za watu hata sifungui huko tena!🙌🏾Kama ni hili tupo wengi nakushauli kila jambo lina kusudi lake View attachment 3615522
Hahahaha mi sina habari wala nini nafungua adi kwenye daladala naumia najicheka lkn nataman watangaze nyengine niombe tena nikapasue tenaMimi naona aibu ku log in mbele za watu hata sifungui huko tena!🙌🏾
Hahahaha mi sina habari wala nini nafungua adi kwenye daladala naumia najicheka lkn nataman watangaze nyengine niombe tena nikapasue tena
Hahahah una ujasiri sana! Bora uombe za private tu kusukuma muda huko serikalini ni cancer!Hahahaha mi sina habari wala nini nafungua adi kwenye daladala naumia najicheka lkn nataman watangaze nyengine niombe tena nikapasue tena
Oral attendance unakuta moja dah!