Evidence mwakaway
Senior Member
- Jun 17, 2026
- 141
- 233
Mpka leo watumishi awajaingiziwa salary yao. Naona hazina kau kau
Nchi Haijawahi kuishiwa pesa, waajiriwa waache kudekaMpka leo watumishi awajaingiziwa salary yao. Naona hazina kau kau
Mwezi bado mchanga sanaNenden mkaone uzi wa mshahara kuchelewa
Ajira zimeishaaWatoe ajira bwanaa
Soon unaramba asali nakumbuka struggle zangu zilikuwa kama zako home boy..... mbeya boy usife moyo endelea kupambana apo Sido....New day
Asante kwa dua zako boss,karibu sana mbeyaSoon unaramba asali nakumbuka struggle zangu zilikuwa kama zako home boy..... mbeya boy usife moyo endelea kupambana apo Sido....
Sawa mtaalamu wasalimie wote apo iyunga, mama John ,sae, forest ,isanga pamoja na mwailubi....Asante kwa dua zako boss,karibu sana mbeya
DuhHii watu wamekula za uso wote..
Bunge la bajeti mwisho tarehe 26 na mwaka wa feza unaanza kuhesabika 1 jully so week ijayo ndio uhakika zaidHuenda kuanzia sasa lolote linaweza kutokea coz bunge tayari limepitisha bajeti.