DuuuuhMwaka jana kuna jamaa alipiga practical 98% nashangaa Jana nakutana nae tena 😂
Utumishi shikamoo 🙌
DuuuuhMwaka jana kuna jamaa alipiga practical 98% nashangaa Jana nakutana nae tena 😂
Utumishi shikamoo 🙌
Sangu kwa sasa si naibu waziri wa UtumishiNasubiri feedback, umekutana na hii kamati na mwneyekiti wao?🫢View attachment 3601269
who knows🤷🏽♀️Sangu kwa sasa si naibu waziri wa Utumishi
Sasa ndugu yangu, inakuwaje tena placement siku hizi zinatolewa na chuo badlands ya AjiraportalKuna pdf huko wazee chuo cha ardhi watu wana bahati wamefanya mei wameitwa june saafi kabisaaaa
Io toka zamani mbona ipo hivyo chuo ndo kinatoa tangazo ajira portal wana publish vyuo vyote ila mchakato mzima unaendeshwa na ajira portal.Sasa ndugu yangu, inakuwaje tena placement siku hizi zinatolewa na chuo badlands ya Ajiraportal
Mungu tutee jamani ,.mtaa mgumu balaaa.Week inayokuja huenda tukafurahi jobless 😔
utakuwa hujalewa..ukilewa ngeli inatiririka tu.kadri siku zinavyoenda nazidi kua shallow.sasa hivi hata ngeli naona inaanza kunitupa mkono...
nextime nikifika oral ntaingia na nyagi lazima panelist watoke mbio..utakuwa hujalewa..ukilewa ngeli inatiririka tu.
Noma sana mkuu. Hii pdf ya ardhi ifungue milango ya pdf nyengineMungu tutee jamani ,.mtaa mgumu balaaa.
Hakika kaka,nasi tufurahi kaka mtaa wa moto balaa.Noma sana mkuu. Hii pdf ya ardhi ifungue milango ya pdf nyengine
🤣 🤣 🤣 nimecheka kifala aisee.mie kuna oral niliingiaga nikahisi labda nimekosea room nini...Practical hua hazinisumbui, Ila hiyo oral sasa kudadeki 🙌
Naulizwa swali hata cjawah kulisikia
Hakika kaka,nasi tufurahi kaka mtaa wa moto balaaNoma sana mkuu. Hii pdf ya ardhi ifungue milango ya pdf nyengine
Ni noma mkuu🤣 🤣 🤣 nimecheka kifala aisee.mie kuna oral niliingiaga nikahisi labda nimekosea room nini...
i knowwho knows🤷🏽♀️
Good!i know