Artificial Horizon
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 491
- 1,100
OSHA ndioOK subiri pdf tu ndugu yangu si ni OSHA au..?
OSHA ndioOK subiri pdf tu ndugu yangu si ni OSHA au..?
Mungu akutangulie bloodOSHA ndio
Amini ndugu yanguMungu akutangulie blood
AmenSiku nyengine tena leo. Ya kuishi kwa matumaini na imani bado siku 6 utimie mwezi bila pdf. Hivi hiv tukiwa na iman kubwa na Mungu bila kupungukiwa hata chembe. Pdf zitamwagika watu tutafurahi na kuimba na kumshukuru Mungu.
#bila kuchoka
Kila la heri mkuu.OSHA ndio
AmenSiku nyengine tena leo. Ya kuishi kwa matumaini na imani bado siku 6 utimie mwezi bila pdf. Hivi hiv tukiwa na iman kubwa na Mungu bila kupungukiwa hata chembe. Pdf zitamwagika watu tutafurahi na kuimba na kumshukuru Mungu.
#bila kuchoka
Ndio kk 🥲Pole sana ndugu, jibu sahihi unalijua ila kwakuwa written imekudisappoint, n lazima uwe na wenge fulani hv ambalo ukilitumia kuvukia barabara lazima ugongwe 😂
Hy pdf unaona ww pekee yakowameona aibu wameamua kutoa ka pdf kao ka tarehe tatu.🤣🤣
Wanefutilia mbali kabisa ila UTUMISHI hahaha kwa msongamano huu wa oral na interview pdf zitatoka za kumwaga sana maana toka interview za April 13 na 17 no pdfwameona aibu wameamua kutoa ka pdf kao ka tarehe tatu.🤣🤣
namaanisha wameiondoaHy pdf unaona ww pekee yako
Kasome tangazoo lote lipakue utapata muongozohivi izo ajira za kujitolea ndo unaaply vp sasa maana kwenye vacancies hamna kitu
Zipi hizohivi izo ajira za kujitolea ndo unaaply vp sasa maana kwenye vacancies hamna kitu
kuna hizo za kujitolea za wakala wa vipimo hapo kwenye advertisementZipi hizo
Oya hiyo pdf ilikuwaje ndugu yangu.Embu elezea placement au kuitwa kwenye usahili?wameona aibu wameamua kutoa ka pdf kao ka tarehe tatu.🤣🤣
Hiyo pdf ilikuwaje ni placement au kuitwa kwenye usahili....Wanefutilia mbali kabisa ila UTUMISHI hahaha kwa msongamano huu wa oral na interview pdf zitatoka za kumwaga sana maana toka interview za April 13 na 17 no pdf
Kasome tangazo uone unatakiwa kutuma naombi wapi utapata muongozokuna hizo za kujitolea za wakala wa vipimo hapo kwenye advertisement
Ilikuwepo ilikua ya kuitwa kazini chuo kikuu dar es salam ilitoka tarehe 3 june 2026Hiyo pdf ilikuwaje ni placement au kuitwa kwenye usahili....
ni ile placement ya udsm ilikua na watu wawiliOya hiyo pdf ilikuwaje ndugu yangu.Embu elezea placement au kuitwa kwenye usahili?