El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,079
- 6,508
OK subiri pdf tu ndugu yangu si ni OSHA au..?Ni oral kiongozi
OK subiri pdf tu ndugu yangu si ni OSHA au..?Ni oral kiongozi
Tulia kijana mama alienda kukopa pesa za mishahara ngoja placement baada ya bunge hili kupita utasheherekeaMwezi huu lini aisee? Kila siku ni kusogeza mbele, labda wanasababu tusizo zijua....
Sawa ndugu yangu.Tulia kijana mama alienda kukopa pesa za mishahara ngoja placement baada ya bunge hili kupita utasheherekea
Hapana, database ni kwa waliofika oral na kupata oral marks 50 kwenda juuNauliza ukiishia written unaweza ingia database?
Waambie pia kwa kada za kitaaluma ili uwe database lazima uwe na 70% kwenda juuHapana, database ni kwa waliofika oral na kupata oral marks 50 kwenda juu
Kada za kitaaluma ni pamoja na Tutorial assistant na ualimuWaambie pia kwa kada za kitaaluma ili uwe database lazima uwe na 70% kwenda juu
Ndio, upo sahihi kabisaWaambie pia kwa kada za kitaaluma ili uwe database lazima uwe na 70% kwenda juu
Daaah sawa mkuu nimekuelewaHapana, database ni kwa waliofika oral na kupata oral marks 50 kwenda juu
Kwa hiyo hapo huelewi nini ndugu sii maksi alizopata based na mgawanyo wa kila kipengele e.g mavazi, confidence, kujieleza etcHivi yale makaratasi wanayokuwaga nayo panelist huwa wanajaza vitu gani?
Maana siku nafanyiwa usaili niliona kuna karatasi nadhani ya candidate aliyekuwa amenitangulia ilikua imeandikwa 16,37 na 20 sasa nikashindwa kuelewa ni marks za kitu gani
Pole sana ndugu, jibu sahihi unalijua ila kwakuwa written imekudisappoint, n lazima uwe na wenge fulani hv ambalo ukilitumia kuvukia barabara lazima ugongwe 😂Nauliza ukiishia written unaweza ingia database?
Unawekwa kaka kikubwa pambana uingie oral kwanza ndio database inakuwa poa zaidNauliza ukiishia written unaweza ingia database?
Unataka tena watu wakatupe hela tena kaka mbona noma hiil
Yaani hakuna kazi hakuna placements vimuli muli vya halmashauri tuAjira portal leo kumenuna 😂
OSHA ndioOK subiri pdf tu ndugu yangu si ni OSHA au..?