HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi mkuu,naomba unieleweshe hapa,ukiingia oral utajuaje kuwa umefaulu interview au uko database?
Mkuu, ondoa hayo mawazo ya database, omba Mungu ufaulu oral na upangiwe kazi tuu, Ukiona pdf imetoka na wenzako wameitwa Afu ww haupo, chukulia umefeli oral hvy pambana kwa wakat ujao.

Mambo ya database waachie utumishi wnyw, ww utajiumiza Bure tuu mana Hakuna namna utajua kama upo database, na kama upo database bc pdf itakuja na jina lako ukiwa kwenye mapambano yako mengine.
 
Database ni really mkuu,kuna jamaa yangu alifanya nafasi ya Economist ii mwaka jana mwezi wa 10,ila mwaka huu kapangiwa kama planning officer huko halmashauri,na barua aliyotumiwa ilisema kabisa kuwa alikua database.
 
Habari kwa yeyote mwenye kumfahamu SAMWEL CLEMENT SAMSON amtaarifu kwamba ameitwa kazini chuo cha ushirika moshi MoCu kwa maelezo zaidi atembelee akaunti yake ya ajira portal au asome tangazo la kuitwa kazini la tarehe 18/5/2026, mpak leo hajawasili kazini na muda wa kuwasili kazini umeisha yeyote mwenye kumfahamu bhasi tusaidiane ndugu yetu taarifa imfikie

Ameitwa kazini kada ya library kama library officer II chuo kikuuu cha ushirika moshi @⁨all⁩
 
usikute ashafariki maana utumishi mpaka wakuite kazini
 
Habari kwa yeyote mwenye kumfahamu SAMWEL CLEMENT SAMSON amtaarifu kwamba ameitwa kazini chuo cha ushirika moshi MoCu kwa maelezo zaidi atembelee akaunti yake ya ajira portal au asome tangazo la kuitwa kazini la tarehe 18/5/2026, mpak leo hajawasili kazini na muda wa kuwasili kazini umeisha yeyote mwenye kumfahamu bhasi tusaidiane ndugu yetu taarifa imfikie

Ameitwa kazini kada ya library kama library officer II chuo kikuuu cha ushirika moshi @⁨all⁩
Sio rahisi hizi taarifa kumfikia ,labda atangazwe na Millard ayo
 
Walahi siku na mimi nikiona hivi kwenye account yangu ntafurahi sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20260615_114405_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260615_114405_WhatsApp.jpg
    72.9 KB · Views: 12
Back
Top Bottom