Mtu Mbadi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2024
- 553
- 653
Aisee kazi kweli, kumbePole sana mkuu. Siyo wao ni taasisi zenye uhitaji, wao ni wakandaji tu mkuu.
Aisee kazi kweli, kumbePole sana mkuu. Siyo wao ni taasisi zenye uhitaji, wao ni wakandaji tu mkuu.
Huenda ni hivo aiseehapo mpaka mwez wa 6 mwishoni au wa 7
Ndio maana umepotea mzee, kila la kheri mwanangu sana, Mungu akutangulie!😂
Practical kesho Dodoma
Wako busy na interviews hii miezi mi3, siunajua tena!Mbombo ngafu..Jobless wenzangu habari gani? Mna uhakika hawa jamaa wa PSRS hawajatusahau kweli.🤐
Subiri budget itoke!Huenda ni hivo aisee
mbaga kauchuna sijui kama kwema huko.. 😀 😀Ndio maana umepotea mzee, kila la kheri mwanangu sana, Mungu akutangulie!
mkuu wametoa pdf lina kilobyte 1Huenda ni hivo aisee
Atakuwa njiani kwenye mapambano! Tumpe muda ataleta mrejesho! Ila utumishi sio poa ndugu zanguni!mbaga kauchuna sijui kama kwema huko.. 😀 😀
Yeah, wenyewe wanakukanda tu, wakiona unafaa wanakupeleka sehemu ambayo kuna order ya uhitaji wa watumishi.Aisee kazi kweli, kumbe
Dah kale ni Ka PDF uchwara, sema atleast huenda leo wakashusha kitu heavy.mkuu wametoa pdf lina kilobyte 1
Wape wenzako mbinu ulizotumia kutoboa.Atakuwa njiani kwenye mapambano! Tumpe muda ataleta mrejesho! Ila utumishi sio poa ndugu zanguni!
Washushe tu.Dah kale ni Ka PDF uchwara, sema atleast huenda leo wakashusha kitu heavy.
Tupe wewe uliyetoboa mimi sijatoboa!Wape wenzako mbinu ulizotumia kutoboa.
AyaTupe wewe uliyetoboa mimi sijatoboa!
Washushe mzigo heavy jobless wafurahiWashushe tu.
Nasubiri feedback, umekutana na hii kamati na mwenyekiti wao?🫢Mwaka jana kuna jamaa alipiga practical 98% nashangaa Jana nakutana nae tena 😂
Utumishi shikamoo 🙌
Ukiwaona hawa ujue ww n kwishnei 😂Nasubiri feedback, umekutana na hii kamati na mwneyekiti wao?🫢View attachment 3601269