mjifuu
New Member
- Apr 11, 2025
- 4
- 7
Hapana ajira sio uhakika but possibility ya kupata ajira ni kubwa kwa sababu kufaulu oral ni kuanzia marks 50% ambayo jobless ukijiandaa vizuri unapata fresh na kama walikuwa wanahitaji watu 50 na wote wakachukuliwa but mnaobaki mnakaa kanzi data ambapo taasisi , halmashauri ,mamlaka na wakala mbali mbali wakihitaji mtu kutoka psrs wanachukuliwa wale waliofaulu oral na kuwekwa kanzi data .Hivi mtu ukiingia oral maaana yake ajira uhakika au??
Na Database ipo kweli?
NB.kwa ushauri tu inabidi uhudhurie sahili zote hata kama wanahitajika watu 2 huwezi jua unaweza ukatokea kwenye tundu la kanzi data.Naomba kuwasilisha