Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,601
- 9,728
Nop you will be reachednishafika mwaka jana, hamna kitu
Nop you will be reachednishafika mwaka jana, hamna kitu
Okkutafuta umri wa mtoto sijui mzazi bada au kabla au mara mbili ya..
ile ukishafungua haifutiki hata kwa ufutio wa chuma.
Sa ntafanyaje?ile ukishafungua haifutiki hata kwa ufutio wa chuma.
Mpaka useme 😂
Wakuu, uchawi upo aisee 🙌
Mtihani niliouona ni mwepesi Ndo nmefeli, mtihani niliouona n mgumu mpaka kichwa kuuma ety nmefaulu kwenda mbele
View attachment 3597782
labda usiwe unaingia na hiyo haiwezekani maana ina kaurahibu flan hiv..Sa ntafanyaje?
Njoo ofisiini Dodoma
Sisemi😏Mpaka useme 😂
Unataka kumpangia Mungu? Sasa hapo kazungumze na mizimu ya kwenu, muombe Mungu, funga siku 3, soma kama kichaa uvute na bangi kidogo! Nikutakie kila la kheri mbaga wangu! Hongera sana mwanang!Wakuu, uchawi upo aisee 🙌
Mtihani niliouona ni mwepesi Ndo nmefeli, mtihani niliouona n mgumu mpaka kichwa kuuma ety nmefaulu kwenda mbele
View attachment 3597782
Yani unaiona kabla ya kufika aisee! Acc ni red kila kona😆hongera mkuu.jiandae na practical mie asubuhi nilitaka kwenda kwenye usahili roho ikasita niliiona not selected hii apa.. 🤣 🤣 🤣
Huwa siingii nayo nakutana nayo baada ya mkeka!labda usiwe unaingia na hiyo haiwezekani maana ina kaurahibu flan hiv..
Sina nauli mimi nielekeze hapa hapa!Nj
Njoo ofisiini Dodoma
Kesho asubuhi.
Uzuri n kwamba hy niliofeli wanataka mtu mmoja, hy niliofaulu wanataka watano.Unataka kumpangia Mungu? Sasa hapo kazungumze na mizimu ya kwenu, muombe Mungu, funga siku 3, soma kama kichaa uvute na bangi kidogo! Nikutakie kila la kheri mbaga wangu! Hongera sana mwanang!
Ah mizimu ya kwetu nao maandazi tuu, ngoja niombe kwa Sir God abless bila kusahau kusoma na kuvuta bangi 🔥Unataka kumpangia Mungu? Sasa hapo kazungumze na mizimu ya kwenu, muombe Mungu, funga siku 3, soma kama kichaa uvute na bangi kidogo! Nikutakie kila la kheri mbaga wangu! Hongera sana mwanang!
Utumishi wapo nawe bega kwa bega mpaka deadline ya umri 😂Sisemi😏
Dahh hebu kapambanie hiyo nafasi aisee mimi naamini kila mtu ana uwezo wa kuipata ila ni ushindani tu!Uzuri n kwamba hy niliofeli wanataka mtu mmoja, hy niliofaulu wanataka watano.
Nngefaulu hy ya mtu mmoja cjui kama nngeenda aiee, mana kwenda Dodoma kisa post ya mtu mmoja afu mpo 50+ aisee n kipengele sana kwangu, mbaya zaidi kada yangu hainaga mambo ya database
💪Dahh hebu kapambanie hiyo nafasi aisee mimi naamini kila mtu ana uwezo wa kuipata ila ni ushindani tu!
Sugua goti baba, soma pia vizuri tu..Ah mizimu ya kwetu nao maandazi tuu, ngoja niombe kwa Sir God abless bila kusahau kusoma na kuvuta bangi 🔥