The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,432
- 14,747
Hope inaumiza sana. Hivi hizi za siku 100 ni halisi? Nimetoka Oral jana. Ngoja tuone kama hizo pdf ztakuja
Pdf zinatoka toka japo kwa apeed ya 2G
Hope inaumiza sana. Hivi hizi za siku 100 ni halisi? Nimetoka Oral jana. Ngoja tuone kama hizo pdf ztakuja
Huenda mkuuHope inaumiza sana. Hivi hizi za siku 100 ni halisi? Nimetoka Oral jana. Ngoja tuone kama hizo pdf ztakuja
Lets wait and seePdf zinatoka toka japo kwa apeed ya 2G
mkuu hongera sana, ni mkeka wa tarehe 19 au umetoka hivi punde (leo)Hatimae nimelambishwa Asali, baada ya Shortlistes for Oral 2 😌
mkuu hongera sana, ni mkeka wa tarehe 19 au umetoka hivi punde (leo)
Hatimae nimelambishwa Asali, baada ya Shortlistes for Oral 2 😌
Shukran mkuu,, mnatufariji sana.Appreciation comment kwa ajili ya huu uzii ... huu uzi umenilea sana ...mpk nikalamba asali .... leo natimiza miezi mi tatu kazini ..
Nakumbuka nilianza kuufatilia huu uzi toka 2023 kipindi sina received hata moja ..
Niliwapongeza wadau wengi sana humu waliolamba asali na furaha yao ilikuwa ni furaha yangu., pia huzuni ya wale waliokuwa wakisubiri mikeka ilikuwa pia huzuni yangu .. tulisubiri kwa imani na wengi kwa neema ya Mungu tulilamba asali.
Naamini bado kuna watu wana hope one day yes. Na ninawatia moyo kuwa Mungu huyo na atawajibu kwa wakati..
Tuendelee na mapambano
Aluta continua.
📌📌📌Shukran mkuu,, mnatufariji sana.
Wanangu 2026 ndio mwaka wa mwisho wa ujobless
hakuna mkuu received toka mwez wa 8Vipi kuna call for interview??
Mzee ulipotea sana nikajua pyupyupyu zmekupitiahakuna mkuu received toka mwez wa 8
Hapo ni mawilihakuna mkuu received toka mwez wa 8
Wakubwa kuna watu wali-itwa kazini 31/12/2025 kada ya "Tutorial Assistant (ICT), ila nilipofuatilia wato hao 2 hawakuwepo kwenye orodha ya wale waliohudhuria waliofanya "oral interview". Hii imakaaje wakuu, mbona ni kama wamepitia mlango wa NYUMA asee.
mie hata kusoma naona uvivu maana hata nikitoboa sometime ndo nafeli zaidiHapo ni mawili
1. Usome sanaa mpk uanze kusahau
2. Usome ukate tamaa usubiri call for interview