Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,097
- 100,915
Mbwa hawa! Wanashindwa kunipa hiyo miaka michache mimi nianze kwenda kwenye usaili na mvi😒Utumishi wapo nawe bega kwa bega mpaka deadline ya umri 😂
Mbwa hawa! Wanashindwa kunipa hiyo miaka michache mimi nianze kwenda kwenye usaili na mvi😒Utumishi wapo nawe bega kwa bega mpaka deadline ya umri 😂
Ukisikia kupata kazi kisa umri mkubwa ndo itakwenda kukutokea Sasa 😂Mbwa hawa! Wanashindwa kunipa hiyo miaka michache mimi nianze kwenye kwenye usaili na mvi😒
Jana umefanyia wapi usaili unaongea sana!😅Ukisikia kupata kazi kisa umri mkubwa ndo itakwenda kukutokea Sasa 😂
Usije kufa bila kulamba pesa ya serikali 😂
Bc nanyamaza 😎Jana umefanyia wapi usaili unaongea sana!😅
Ulifanyia wapi? Mimi ifmBc nanyamaza 😎
Mm Ilikuwa st Joseph University, mbezi paleUlifanyia wapi? Mimi ifm
Magari saba🤪Mm Ilikuwa st Joseph University, mbezi pale
Nadhani hapo yahMagari saba🤪
Kwamba hupajui?Nadhani hapo yah
No, nilivoshuka mbezi, nikapanda boda kwenda moja kwa moja st Joseph so kituo cha daladala sikijui jina.Kwamba hupajui?
Ooh ndio huko kibamba!No, nilivoshuka mbezi, nikapanda boda kwenda moja kwa moja st Joseph so kituo cha daladala sikijui jina.
Kila la heri unapambana sanaWakuu, uchawi upo aisee 🙌
Mtihani niliouona ni mwepesi Ndo nmefeli, mtihani niliouona n mgumu mpaka kichwa kuuma ety nmefaulu kwenda mbele
View attachment 3597782
Mh sidhani kama unafika kibamba, sio mbali na pale mbezi standOoh ndio huko kibamba!
Yah mkuu, bado cjachoka kupambanaKila la heri unapambana sana
Mara chache ninazoingia kwenye huu uzi huwa naona hilo, hukati tamaa bila kuchoka
Ndio panaitwa magari saba ukitoka hapo unaingia kibambaMh sidhani kama unafika kibamba, sio mbali na pale mbezi stand
Oh Kumbe, c unajua mm mshamba huku Dar, nmekuja jana tuu kwa ajili ya usaili 😎Ndio panaitwa magari saba ukitoka hapo unaingia kibamba
Kwa maajabu yapi, mbona huko hakuna maajabu yoyote!Oh Kumbe, c unajua mm mshamba huku Dar, nmekuja jana tuu kwa ajili ya usaili 😎
JidanganyeHivi mtu ukiingia oral maaana yake ajira uhakika au??