HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tulikuwa watatu na position inahitaji mtu mmoja ndo nimepata hiyo.lkn nilikuwa na hofu sana sababu wakati najielezea about yourself mwenyekiti alinikatisha wakati natema madini kanirusha swali lingine.lkn nilipokuja hapa kuomba ushauli aisee nilikatiswa tamaa na ukizingatia ni interview ya kwanza, na Mungu siyo doto magari hatimae nimepata hiyohiyo.
Aione VERBOSE kwenye jarada.
 
Hu

Humu mitandaoni wajuaji ni wengi wakati hakuna wanalolijua.
 
Tulikuwa watatu na position inahitaji mtu mmoja ndo nimepata hiyo.lkn nilikuwa na hofu sana sababu wakati najielezea about yourself mwenyekiti alinikatisha wakati natema madini kanirusha swali lingine.lkn nilipokuja hapa kuomba ushauli aisee nilikatiswa tamaa na ukizingatia ni interview ya kwanza, na Mungu siyo doto magari hatimae nimepata hiyohiyo.
Kukukatisha means amepata jibu analotaka kusikia ukienda op hawakatishwagi mara nyingi! Usiskilize watu kila mtu anakuwa jaji na hajawahi kukaa kwenye panel! Wewe ndio unajua umejibu nini! Anyways kila la kheri ukatumikie taifa lako vyema!
 
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Ndo kama hivo hivo wanavotumia muda mrefu kumfukuza mtumishi kazi hata akilalamikiwa miaka
 
Kukukatisha means amepata jibu analotaka kusikia ukienda op hawakatishwagi mara nyingi! Usiskilize watu kila mtu anakuwa jaji na hajawahi kukaa kwenye panel! Wewe ndio unajua umejibu nini! Anyways kila la kheri ukatumikie taifa lako vyema!
Wise words from the Tanzanian lady.
 
Siku hizi ndio mekundu au?
Ukiwa selected for oral inter.... naona maandishi ni ya kijani. Ukiwa not selected nadhani maandishi yatakuwa rangi ya hatari yaani myekundu.

Hapa kwangu nina moja nilikosea address kwa hiyo waliishia tu kuniambia nimekosea address.
 
Oh hayo hata kwangu yapo yanakera matumaini hewa!

Hata kwnagu ipo na hayo mekundu kila week🥺🙏🏽
 
Habari njema ni kwamba hata ukipata kazi hayo madude utaendelea kuyaona, sijui wanaacha ili tukumbuke tulikotoka au vip.
 
Back
Top Bottom