AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,697
- 21,546
Mwambie Mwambawetu alijibuje mpaka wakamkatiza asiendelee kujibutusaidei jinsi ya kujibu hili swali
Mwambie Mwambawetu alijibuje mpaka wakamkatiza asiendelee kujibutusaidei jinsi ya kujibu hili swali
Mmmh.Elezea umezaliwa wapi
Umesoma kuanzia wapi hadi wapi
Kwa sasa upo wapi
Kisha submit
Mimi ni fulani.....nina elimu ya chet cha ...pia nina experience ya miaka 3 ya kufanya kazi ya......hivyo katika majukumu hao nimejifunza ujuzi huu na huu na vilevile kutokana na performance yangu mwaka 2025 niliweza kupewa tunzo kama mfanyakazi bora..... hivyo nikaulizwa swali niliPojibu bc ikaishia hapo nikaulizwa lingin
Mimi nilijibu hivyo sijabadilisha chochote ingawa mwanzo nilianza kushuru Mungu na panel nzima kwa kuitwa kufanya interviewVizuri
Mkuu Ungejua kwa sasa niko wapi, ungeelewa kuwa kukatizwa sio big deal.Mwambie Mwambawetu alijibuje mpaka wakamkatiza asiendelee kujibu
Hakuna.Wapi nimekosea hapo hadi nikasitopishwa na kuuulizwa swali lingine?
Kua wapi sio chochote. Kila mtu na bahati yake.Mkuu Ungejua kwa sasa niko wapi, ungeelewa kuwa kukatizwa sio big deal.
Ndicho nachomaanisha. Usimtishe jamaa na habari za kukatizwa kwa sababu ni issue minor.Kua wapi sio chochote. Kila mtu na bahati yake.
DuuuhKua wapi sio chochote. Kila mtu na bahati yake.
Sijamtisha popote. Ni uhuru wa maoni hakuna vitisho hapa tunachangia mada.Ndicho nachomaanisha. Usimtishe jamaa na habari za kukatizwa kwa sababu ni issue minor.
Ishi humu. Ipo hivyo. Km bahati ni yako ni yako tu. Km sio yako basi subiri mwakani.Duuuh
Kada gani nduguHata hivyo ni bahati kuitwa moja kwa moja oral Mungu ni Mwema
Yaan unamaanisha hujapita written umeenda moja kwa moja oral na practical hujawahi kufanya? Asante kwa taarifa.Hata hivyo ni bahati kuitwa moja kwa moja oral Mungu ni Mwema
Mbona inatokea hii sana Mkuu ikiwa waombaji ni wachache kwahyo inakuwa haina maana ya mchujo.ww angalia vizuri pdf za uitwa interview kuna sehemu juu watu wameitwa interview ya mchujo yan kuandika wengine wameitwa interview ya oral tu.kwahyo inatokea sana kutokana na wingi wa waombajiYaan unamaanisha hujapita written umeenda moja kwa moja oral na practical hujawahi kufanya? Asante kwa taarifa.
Dah majamaa mnajua kukera aise kila kitu mnataka ufafanuzi mnataka kujibu ni usaili wa usalama wa taifa umekua huo Hadi unataka kujielezea sana? Watu Wana mambo yao Wana ratiba zao za kazi na nje ya kazi, mtu anataka amalize kuhoji aondoke akafanye shuhul nyingine na pia wengine hua wanataka tu kujua kama umeelewa swali.Wapi nimekosea hapo hadi nikasitopishwa na kuuulizwa swali lingine?
Nilipoona tu picha kwenye profile yako kabla sijasoma ujumbe wako nikajua tu moja kwa moja una akili sana na hekimaUsikatee tamaa eti kisa umekatiswa swali ulilokuwa unajibu.
Kama maswali yao uliyajibu kawaida tu .Subiri mkeka wa kupangiwa kazi.
Sawa.Mbona inatokea hii sana Mkuu ikiwa waombaji ni wachache kwahyo inakuwa haina maana ya mchujo.ww angalia vizuri pdf za uitwa interview kuna sehemu juu watu wameitwa interview ya mchujo yan kuandika wengine wameitwa interview ya oral tu.kwahyo inatokea sana kutokana na wingi wa waombaji
Safir urud mtwara mkuuHabari Wakuu?
Msaada tutani,
Ikiwa kama mtu aliweka anuani ya Mtwara wakati wa kutuma maombi lakini wito wa usaili amepokea akiwa Bukoba na uwezekano wa kurudi Mtwara kwa haraka haupo.
Akijaribu kubadili anuani ya zamni na kuweka ya sasa mfumo unakataa, je ni hatua zipi za zaida hufanyika ili kuweza kupata nafasi ya kuhudhuria usaili husika ?
Msaada kwa mwenye kujua taratibu husika.!!!
Wamekwambia Call UsHabari Wakuu?
Msaada tutani,
Ikiwa kama mtu aliweka anuani ya Mtwara wakati wa kutuma maombi lakini wito wa usaili amepokea akiwa Bukoba na uwezekano wa kurudi Mtwara kwa haraka haupo.
Akijaribu kubadili anuani ya zamni na kuweka ya sasa mfumo unakataa, je ni hatua zipi za zaida hufanyika ili kuweza kupata nafasi ya kuhudhuria usaili husika ?
Msaada kwa mwenye kujua taratibu husika.!!!