Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,118
- 131,792
Huwez kuwa star Afu uwe unaishi tandahimba 😂Hutaki kuwa superstar tandahimba?😁
Huwez kuwa star Afu uwe unaishi tandahimba 😂Hutaki kuwa superstar tandahimba?😁
Si unakuwa wa hukohuko au?Huwez kuwa star Afu uwe unaishi tandahimba 😂
Unakuwa mkulima machachariSi unakuwa wa hukohuko au?
1. Confidence ni muhimu sana, kuna mda nilikuwa nawauliza nimejibu points ngapi kwenye hilo swali?? , wananijibu, umejibu points kadhaa hadi sasa, wanavyo hesabu points nilizozitaja na mimi nazidi kupasha kichwa ili kichwa kikumbuke points zingine 😀😀.Kwa mara ya kwanza jmosi naingia kwenye Mikando.
Hawa ocean road lazima tuuane.
Haya maswali bhana, ukiulizwa ana kwa ana unaweza kubaki kucheka then wakakuona Una dharau 😂
Yapo mengi sana😅Haya maswali bhana, ukiulizwa ana kwa ana unaweza kubaki kucheka then wakakuona Una dharau 😂
Upuuzi n mwingi mno 😂Yapo mengi sana😅View attachment 3584932
H n nyota wa baharini
Jibu maswali sasa😃Upuuzi n mwingi mno 😂
Umebahatisha haka..H n nyota wa baharini
Hilo swali linataka nitulize akili na now siko sawa 😎Jibu maswali sasa😃
Hii najua tangu kitambo 😎Umebahatisha haka..
Umeachika ghafla sio🤣Hilo swali linataka nitulize akili na now siko sawa 😎
Ajira watazitoa kwa ushindani kuweka haki
Vipi ilibadilika Mkuu?Etii wakuu ivi ukifanya oral interview inachukua muda gani hadi wabadilishe kwenye account kwamba nime attend.
Maana inakaribia wiki ya tatu sasa sioni ikibadilika au ndo za Usooo View attachment 3579804