Uliyofaulu Sana.Jamani ee naomba kuuliza pia what if ukaingia oral mbili consecutive afisa tawala na katibu kamati je wanaweza kukupangia ipi na huku kozi uliosomaa ni PUBLIC ADMINISTRATION
Hapa jibu nimepata 19View attachment 3583115
Ukimaliza nitafutie umri wa Aruni aisee😅
Acha kufuatilia maisha ya watu, yako mwenyewe yanakushinda 😂
Wewe ndio utanipoteza kabisaaa! Jibu ni 4Hapa jibu nimepata 19
Utumishi ndio wanachokitaka hebu fanya kweli basiAcha kufuatilia maisha ya watu, yako mwenyewe yanakushinda 😂
Nipe mchakato wa kupata hiyo 4.Wewe ndio utanipoteza kabisaaa! Jibu ni 4
BodmasNipe mchakato wa kupata hiyo 4.
Mm nimepata 19 kwa sababu.
Jamaa ana makopo matatu yenye jumla ya lita 24 mana kila kopo lina lita 8 hivyo n 8×3= 24
Akatoa Lita 5 kuwapa washikaji zake wanne
24 - 5 = 19
Kazi ipo 😂Bodmas
3x8=24
5x4=20
24-20=4
Kipi kichina hapo?Kazi ipo 😂
Ila c amesema ametoa lita 5 kwa wote wanne na sio lita 5 kwa kila mmoja wapo
Lita 5 kwa wote, sio kila mmoja 😎Kipi kichina hapo?
Lita 5 kwa watu wanne jumla ni lita ngapi?
Na mwanzo zilikuwa ngapi jumla?
Na sasa zimebaki ngapi?
Hmm soma vizuri, lita tano kwa kila moja kwa usawa! Means @Lita 5 kwa wote, sio kila mmoja 😎
😂 We jamaa bhana 😂What if ukaambiwa mention point 5 wewe uka mention points 5 tuu?
Hesabu kazi ipo 😂Hmm soma vizuri, lita tano kwa kila moja kwa usawa! Means @
Kwahiyo unagawa litre 5/4??
Let’s try:
5/4=1.25
Kwa hiyo heabau rahisi ni kwamba
8x6=24
24-5= 19
Na jibu hapo halipo kwenye choices! Hii hesabu hainiingii akilini bado!
Watu wamevurugika!😂 We jamaa bhana 😂
Sasa hapo ulitakaj
Ndio maana nina mswaki wangu safi kabisa!Hesabu kazi ipo 😂
Ni 4/5 mkuu nimekoseaWhat if ukaambiwa mention point 5 wewe uka mention points 5 tuu?