Ngoja nipate kazi huko kwanza 😂
Mi sitaki tena!😪Ngoja nipate kazi huko kwanza 😂
Bila kuchokaMi sitaki tena!😪
Mamaa, tusichoke bhana. N bora kufanya kuliko kutokufanya KabisaMi sitaki tena!😪
Mpaka lini sasa🥺Bila kuchoka
Kweli 😓Mamaa, tusichoke bhana. N bora kufanya kuliko kutokufanya Kabisa
Yah mamaa, tupambane tuKweli 😓
Data base ni reallyUshajiona uko huko kwenye database kiinimacho au unajipa matumaini yasiyo na sababu? Wewe ukishapiga Oral majina yakatoka placements haupo basi fanya shughuli zingine subiria awamu nyingine forget about database, database ni kuwahimiza tu msikate tamaa ni saikolojia nothing else. Nimeamua kukupa ukweli mchungu.
Siku hio hio mkeka unabadirika wewe unataka nini uone imebadirika au uone ile download placement letter? Maana kunaweza kua watu wana mission tofauti wengine hizo wanazo kibao ila placement letter hawana hata moja na kwenye database hawajui km wamo au hawamoEtii wakuu ivi ukifanya oral interview inachukua muda gani hadi wabadilishe kwenye account kwamba nime attend.
Maana inakaribia wiki ya tatu sasa sioni ikibadilika au ndo za Usooo View attachment 3579804
Database ni siri ya wenye siri ingekua real ungeona PDF limetoka na linaonyesha kwa uwazi kabisa kila baada ya Oral kwamba hawa hapa ndio tulionao kwenye Database ila umeona wapi uniambie hio is really wapi ulipoona hio Database unayosema?Data base ni really
Kuna nini au ndio unaenda kujitolea miezi 12?Wakuu ofisi ya mkurugenzi manispaa ya kigamboni ipo maeneo gani pale kigamboni nikipitia darajani nashuka kituo gani anaejua anisaidie
Nimefanya writen 6 moja ndio imetiki naenda kufanya presentation mkuuKuna nini au ndio unaenda kujitolea miezi 12?
Kudadek 6 halafu 1 ndio duuh watu mnapitia msotogoto sio mchezo wakati wengi wakigusa tu walete mwendo kuteleza tuNimefanya writen 6 moja ndio imetiki naenda kufanya presentation mkuu
Hao watakuwa na ndugu na utumishi zile pepa ni shida nielekeze mkuu kama unapafahamu naenda oral keshoKudadek 6 halafu 1 ndio duuh watu mnapitia msotogoto sio mchezo wakati wengi wakigusa tu walete mwendo kuteleza tu
KIGAMBONI MUNICIPAL COUNCIL located at FARM LO No 14549, Mbwamaji Gezaulole Somangila, Dar Es Salaam TanzaniaHao watakuwa na ndugu na utumishi zile pepa ni shida nielekeze mkuu kama unapafahamu naenda oral kesho