HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Database ni siri ya wenye siri ingekua real ungeona PDF limetoka na linaonyesha kwa uwazi kabisa kila baada ya Oral kwamba hawa hapa ndio tulionao kwenye Database ila umeona wapi uniambie hio is really wapi ulipoona hio Database unayosema?
Mi mwenyewe nimepata kazi kwa data base, nilifanya interview muda mrefu tu ya taasisi moja ila sikupata, nikaja kuitwa kazini(placement) kwingine baadae sana sina hili wala lile.
 
Mi mwenyewe nimepata kazi kwa data base, nilifanya interview muda mrefu tu ya taasisi moja ila sikupata, nikaja kuitwa kazini(placement) kwingine baadae sana sina hili wala lile.
Wewe nani atakuamini leta ushahidi hapa ukionyesha ulikua kwenye database, acha kuwafanya vijana wasifocus na placement letter wafocus na database huo ni ujinga
 
Wewe nani atakuamini leta ushahidi hapa ukionyesha ulikua kwenye database, acha kuwafanya vijana wasifocus na placement letter wafocus na database huo ni ujinga
Unachobisha hakina mantiki database ipo ukitaka ushahidi wewe ndio uende utumishi ukathibitishe watu walio database watakuonyesha
 
Jamani ee naomba kuuliza pia what if ukaingia oral mbili consecutive afisa tawala na katibu kamati je wanaweza kukupangia ipi na huku kozi uliosomaa ni PUBLIC ADMINISTRATION
Yoyote kati ya hizo unapangwa tu
Maana kuna jamaa yangu wa karibu alisoma public administration alipata hiyo commitee clerk (katibu kamati),aliitumikia kwa muda akabadili kada al
kahamia idara ya utumishi,akarulia hapo kwa muda akapambana akahamia TARURA kama afisa utumishi😀 mapmabano yakaendelea....akatoka TARURA akaenda taasisi nyingine
😃 wanasema ugumu ni kuingia kwenye mfumo kupata check number ila ukishaingia tu yote yanawezekana unafika popote unapotaka😀😀
Kikubwa ujue kuongea vizuri na watu
 
Je kibunda kinaongezeka au kujichosha?
 
Niliwakumbuka sana ndugu zangu EMAIL YANGU ya JF ilikua blocked 🚫

Ambao mnaumwa na changamoto za kibinadamu inshallah Mungu awafanyie wepesi mludi kwenye hali zenu.

Hongereni mlioitwa kazini na ambao mnasubiri placement basi nanyi Mungu yu pamoja nasi inshalllah wote tutapata. Na ambao mnasubiri kwenda kufanya interview na nyie Mungu awaongoze kwa namna yake mpate kuingia oral

Hatimae kupangiwa vituo vya kazi Amen
Baada ya email yako kupata changamoto, ulichukua hata zipi?
 
Mungu ni mwema mkuu nishaingia nipo chini ya wizara ya madini.
Sawa! Hongera sana
Nafikri lile swali lako utapata jibu vizuri sana kama una jamaa mwenye taaluma kama yako aliajiriwa halmashauri na ulinganishe ulipo wewe kwa post hiyo hiyo,,ndio utajua sasa kama kuhama hama ni kujichosha au kibunda kinaongezeka😃
 
Back
Top Bottom