HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
KIGAMBONI MUNICIPAL COUNCIL located at FARM LO No 14549, Mbwamaji Gezaulole Somangila, Dar Es Salaam Tanzania

You can contact Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni by phone using number 022 292 8468
Au ndio zile gari za kwenda wilayani ukitokea temeke
 
Wakuu ofisi ya mkurugenzi manispaa ya kigamboni ipo maeneo gani pale kigamboni nikipitia darajani nashuka kituo gani anaejua anisaidie
Ipo geza urole
Ukivuka pantoni upande wa kigamboni unapnda gari za kwenda geza urole pia kuna bajaiji za kuchangia
Kila lakheri
 
Leo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?
 
Tunatumia vigezo hivyo kijana
 
Attachments

  • Screenshot_20260428_132419_Instagram.jpg
    Screenshot_20260428_132419_Instagram.jpg
    68.9 KB · Views: 22
Leo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?

Hakikisha tu umejibu point zoote 5 hata kama sio sahihi
 
Leo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?
Utumishi ukipiga oral,we potezea hawana formula maalumu.
 
Leo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?
Comrade jipe moyo cha msingi umeweza kuzungumza ndani ya chumba cha usaili, kwenye usaili Panelist huwa wanazingatia vitu vingi sana.
 
Leo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?
unakumbuka swali gani mkuu
 
Back
Top Bottom