HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mtu kaenda kureport kapeleka documents zote basi akapewa form ya hospital akapime na akapewa form 2 za kujaza details binafisi then akaambiwa aandike account ya bank alfu wakasema tushamalizana ondoka subiri simu kwanzia sasa ya kuitwa kuanza kazi.je hii ikoje? Maana imenipa kudogo mashaka
 
Hivyo mambo ndivyo yalivyo huko serikalini mkuu.
 
Mtu kaenda kureport kapeleka documents zote basi akapewa form ya hospital akapime na akapewa form 2 za kujaza details binafisi then akaambiwa aandike account ya bank alfu wakasema tushamalizana ondoka subiri simu kwanzia sasa ya kuitwa kuanza kazi.je hii ikoje? Maana imenipa kudogo mashaka
Hapo ni kuwa mvumilivu tu mkuu. Binafsi nilipigiwa simu baada ya miezi mitatu, hata nauli ya kwenda kazini muda huo sikuwa nayo.

Nilishasahau, nikarudi kwenye kazi yangu ya kufunga madishi ya Azam na DSTV mtaani, Nashukuru waliniwekea mshahara kwenye akaunti bila mimi kujua, nilipowasiliana na wenzangu ndio nikajua nina kibunda.

Hivyo wanafanya process ya kukutafutia check namba na kukufungulia file. Relax mkuu. Karibu Katavi
 
Nimekuwa shortlisted kwenye written pale ocean road, sema nakuwa kama nakata tamaa sababu nasikia wanao voluntia ndio huwa hao hao wanapata hapo.
 
Hapo ni kuwa mvumilivu tu mkuu. Binafsi nilipigiwa simu baada ya miezi mitatu, hata nauli ya kwenda kazini muda huo sikuwa nayo.

Nilishasahau, nikarudi kwenye kazi yangu ya kufunga madishi ya Azam na DSTV mtaani, Nashukuru waliniwekea mshahara kwenye akaunti bila mimi kujua, nilipowasiliana na wenzangu ndio nikajua nina kibunda.

Hivyo wanafanya process ya kukutafutia check namba na kukufungulia file. Relax mkuu. Karibu Katavi
Huko katavi mkuu?
 
Nina received ya toka mwaka 2024 mwezi wa nane wakuu hii sio kuwa washaitwa mimi ndio imepita hivyoo
 
Niliwakumbuka sana ndugu zangu EMAIL YANGU ya JF ilikua blocked 🚫

Ambao mnaumwa na changamoto za kibinadamu inshallah Mungu awafanyie wepesi mludi kwenye hali zenu.

Hongereni mlioitwa kazini na ambao mnasubiri placement basi nanyi Mungu yu pamoja nasi inshalllah wote tutapata. Na ambao mnasubiri kwenda kufanya interview na nyie Mungu awaongoze kwa namna yake mpate kuingia oral

Hatimae kupangiwa vituo vya kazi Amen
 
Amen 🙏🏽
 
Back
Top Bottom