Hii kitu nlishawahi kuisema Humu watu wakanijia juu japokuwa n kweli database Ipo na inafanya kazi.
Mm mwaka jana Septemba tumefanya interview, December wakatangaza Hizo Hizo nafasi tena, January wakatoa placement ya wale waliofaulu interview ya September Bila kuongeza idadi pamoja na kwamba wametangaza nafasi zingine.
Na hii sio mara ya kwanza kuona hii.
Placement ikitoka na jina lako hulioni, ww ona ni ulifeli ulipata 0, mambo ya kusema nipo database ni kujipa stress Na imani isiyokuwa na kichwa wala miguu.