HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ishu n uhakika wa kuipata hy 700k na mkataba wa uhakika
sahihi, ila hiyo mindset itoe tu kuna watu wako private miaka nendarudi na wanakula pesa ndefu! Mtu analipwa mil 3-5 kwa mwezi aache kazi kisa uhakika wa laki 7🤦🏽‍♀️
 
sahihi, ila hiyo mindset itoe tu kuna watu wako private miaka nendarudi na wanakula pesa ndefu! Mtu analipwa mil 3-5 kwa mwezi aache kazi kisa uhakika wa laki 7🤦🏽‍♀️

Private nyingi saivi zinatoa permanent contracts, Employee resignation rate ni kubwa sana saivi.
 
Sisi zetu hatuendi dom
Seran kama kuna ujumbe wa kuufikisha kwa hawa wadau, nitumie PM.
Nitaanza na hilo la kuletewa maswali ya hesabu.
 

Attachments

  • 20260412_151209(1).jpg
    20260412_151209(1).jpg
    1.3 MB · Views: 13
Back
Top Bottom