HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ngoja nisubiri na zamu yangu 😂 mana received yangu ina miezi mitano sasa
Unaambiwa km watu 10 wanalima ekari 8 kwa siku 2, je watu 20 watalima ekari 50 kwa siku ngapi? Kichwa kina-bust sana hesabu ngumu nyie unaanza kusema kwani mimi ndie nimewatuma wakalime si wameamua wenyewe sasa mimi najua watalima siku ngapi wakiamua kuacha kulima je?
 
Mitano tu?

Mimi nina plan b aisee
Utumishi wananipandisha sukari sana!
9EA3BB4B-5082-4E7A-A2C2-43DFDE4D78E6.jpeg
 
Unaambiwa km watu 10 wanalima ekari 8 kwa siku 2, je watu 20 watalima ekari 50 kwa siku ngapi? Kichwa kina-bust sana hesabu ngumu nyie unaanza kusema kwani mimi ndie nimewatuma wakalime si wameamua wenyewe sasa mimi najua watalima siku ngapi wakiamua kuacha kulima je?
Hao watu 20 wakivuta Bangi, hizo ekari 50 zinaisha kwa nusu siku tuu
 
Halafu umenikumbusha kuna maza jana nimepanda nae gari anasimuliana na mama mwingine duuh alichokua anaongea mule sio poa yaan ana mwanae ana kula ndumu sana ila anachomsifu huyo anaekula ndumu ni ana piga kazi balaa kuwazidi ndugu zake wote yaan maza anamsifia mwanae kula ndumu mpaka nikashtuka halafu ni ile mpo kwenye gari anaongea gari zima mnamsikia
 
Back
Top Bottom