Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,993
- 100,679
Tayari tumewehuka mkuusasa hivi majobless ni mwendo wa kuongea wenyewe utazani vichaa..
Tayari tumewehuka mkuusasa hivi majobless ni mwendo wa kuongea wenyewe utazani vichaa..
aisee mirembe itabidi waongeze vitandaTayari tumewehuka mkuu
Mimi nishapata plan b mtajua nyinyi😅aisee mirembe itabidi waongeze vitanda
takukuru wametoa tangazo kama uko na age chini ya 29 kajaribu bahati yako wengine tushastaafu..Mimi nishapata plan b mtajua nyinyi😅
Dahh naelekea menopause haitanifaa hiyo! Unaomba kazi mpaka unazeeka hupati!takukuru wametoa tangazo kama uko na age chini ya 29 kajaribu bahati yako wengine tushastaafu..
🤣 🤣 🤣 yaani mdogo wako anapata kazi we unaachwa kwenye mataa utazani wao hawatazeekaDahh naelekea menopause haitanifaa hiyo! Unaomba kazi mpaka unazeeka hupati!
Mbaya zaidi hanaga hata akili vizuri😫Inaumiza sana!🤣 🤣 🤣 yaani mdogo wako anapata kazi we unaachwa kwenye mataa utazani wao hawatazeeka
Uache kula pesa za watu 😂Sijapendaa 😅
Kwa mashost wako huna lishangazi linalotaka kukunwa vzr uniunganishane nae? 😎Mimi nishapata plan b mtajua nyinyi😅
Sijala bwana😃Uache kula pesa za watu 😂
Labda lizee hawa nilionao bado wanahudumiwa na mkuno juu😂Kwa mashost wako huna lishangazi linalotaka kukunwa vzr uniunganishane nae? 😎
Hata hilo lizee fresh tuu, stage niliyofikia Naweza hata kumtoa kafara mtu ili nitoboeLabda lizee hawa nilionao bado wanahudumiwa na mkuno juu😂
Ukiwa mwanamke kuna namna utakula pesa ya mwanaume automatically 😂Sijala bwana😃
Nimecheka mbwa wewe😂😂 usifikie huko bana si upige mishe za hapa na pale kwanza nawewe hiyo laki7 ndio ikutoleshe macho😃Hata hilo lizee fresh tuu, stage niliyofikia Naweza hata kumtoa kafara mtu ili nitoboe
Umenikubuka kuna 500 nimepata jana, wasiwasi wa matokeo sina 😅Ukiwa mwanamke kuna namna utakula pesa ya mwanaume automatically 😂
500 ya voda songesha au 😂Umenikubuka kuna 500 nimepata jana, wasiwasi wa matokeo sina 😅
Eh laki 7 ipi tena jamani, kumbe nna pesa na sijui 😂Nimecheka mbwa wewe😂😂 usifikie huko bana si upige mishe za hapa na pale kwanza nawewe hiyo laki7 ndio ikutoleshe macho😃
We mtoto 500k mi miatano napeleka wapi😂500 ya voda songesha au 😂
Sinunawaza laki7 ya serekale😅Eh laki 7 ipi tena jamani, kumbe nna pesa na sijui 😂