HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Halafu umenikumbusha kuna maza jana nimepanda nae gari anasimuliana na mama mwingine duuh alichokua anaongea mule sio poa yaan ana mwanae ana kula ndumu sana ila anachomsifu huyo anaekula ndumu ni ana piga kazi balaa kuwazidi ndugu zake wote yaan maza anamsifia mwanae kula ndumu mpaka nikashtuka halafu ni ile mpo kwenye gari anaongea gari zima mnamsikia
Hata Ukiwa jambazi mwenye faida kwenye familia yako utapendwa tuu hasa kama kuna wengine n wema afu kazi yao n kula kulala 😂
 
Hata Ukiwa jambazi mwenye faida kwenye familia yako utapendwa tuu hasa kama kuna wengine n wema afu kazi yao n kula kulala 😂
Haswa haswa na Mama Mzazi daah yule Maza sikutarajia km atamsifia mwanae kula ndumu kiasi kile anakwambia aakishavuta bangi zake ni anafanya kazi yaan yule mtoto ndicho ninachompendea tu, duuh
 
Back
Top Bottom