HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu hivi niulize swali .umeanza interview ukaanza kushukuru then ukaanza kujielezea lile swali about yourself ukafata majina, education, experience,skills lkn wakati unataa kuingia kuelezea achievement mwenyekiti akakusitopisha akakuuliza now wafanya kazi gani? Ukamjibu akasema oky then akaruhusu uulizwe swali lingine yani lile limepita hivyo.je hii ina maana gani?
 
Kweli niliwaza hivi .. lakini swali jingine likaja Yani sijapata kwenye oral interview ya kutafuta watu 800 nafasi za ualimu afu nije nijipe matumaini kwamba nitapata kwenye written interview ya Examination officer iliyoita watu zaidi ya elfu Moja ili kupata watu wawili (2) ?? Ukweli kabisa not selected naiona wazi wazi hii hapa ..

Hapana,, mungu ana namna nyingi za kutupa ujumbe watu wake juu jambo Fulani .. nadhani hii pia ni ujumbe kwangu kuwa niachane na haya mambo ya ma interview ni focus na mambo mengine ...

Hii pesa ya nauli acha ninunue hata sharti la kitenge tu kuliko kwenda kuitupa huko DODOMA..
Acha kukata tamaa. Ninawafahamu watu waliopata ajira kwenye sehemu ambazo wala hawakuomba.
 
Wakuu hivi niulize swali .umeanza interview ukaanza kushukuru then ukaanza kujielezea lile swali about yourself ukafata majina, education, experience,skills lkn wakati unataa kuingia kuelezea achievement mwenyekiti akakusitopisha akakuuliza now wafanya kazi gani? Ukamjibu akasema oky then akaruhusu uulizwe swali lingine yani lile limepita hivyo.je hii ina maana gani?
Mimi ni mmoja ya watu ambao tulikatizwa katizwa sana.
 
Wakuu hivi niulize swali .umeanza interview ukaanza kushukuru then ukaanza kujielezea lile swali about yourself ukafata majina, education, experience,skills lkn wakati unataa kuingia kuelezea achievement mwenyekiti akakusitopisha akakuuliza now wafanya kazi gani? Ukamjibu akasema oky then akaruhusu uulizwe swali lingine yani lile limepita hivyo.je hii ina maana gani?
Maana yake umekosea kujibu hilo swali ndio maana akakurusha
 
Tell me about yourself

Jibu hilo swali halafu nitakwambia wapi unapokosea mpaka akakurusha, wewe fanya km unajibu tu
Mimi ni fulani.....nina elimu ya chet cha ...pia nina experience ya miaka 3 ya kufanya kazi ya......hivyo katika majukumu hao nimejifunza ujuzi huu na huu na vilevile kutokana na performance yangu mwaka 2025 niliweza kupewa tunzo kama mfanyakazi bora..... hivyo nikaulizwa swali niliPojibu bc ikaishia hapo nikaulizwa lingine
 
Mkuu wa Panel akaniambia nisijisikie vibaya kukatishwa. Wao wanachotaka ni kuona jinsi ninavyo flow. Halafu huyo aliyekuwa ananikatisha katisha nikaja kukutana naye Arusha nikiwa nimeshaanza kazi.
Mimi nilikuwa na confidence tu lkn mwenye kiti alinikayiza wakati naendelea kutema madini .hilo ndo linaniwazisha je why?
 
  • Thanks
Reactions: apk
Tell me about yourself
Mimi ni fulani.....nina elimu ya chet cha ...pia nina experience ya miaka 3 ya kufanya kazi ya......hivyo katika majukumu hao nimejifunza ujuzi huu na huu na vilevile kutokana na performance yangu mwaka 2025 niliweza kupewa tunzo kama mfanyakazi bora..... hivyo nikaulizwa swali niliPojibu bc ikaishia hapo nikaulizwa lingine
 
Mimi ni fulani.....nina elimu ya chet cha ...pia nina experience ya miaka 3 ya kufanya kazi ya......hivyo katika majukumu hao nimejifunza ujuzi huu na huu na vilevile kutokana na performance yangu mwaka 2025 niliweza kupewa tunzo kama mfanyakazi bora..... hivyo nikaulizwa swali niliPojibu bc ikaishia hapo nikaulizwa lingine
Vizuri
 
Back
Top Bottom