Au anaishi dom? Au karibu na Dom, Kwamba saiv hata kama unaishi mbali unaambiwa uende Dom kweli? 🤔Pole, usikate tamaa kuna watu wamepambana hivyohivyo mpaka miaka 7 ndio wakapata, na haimaanishi kwamba wewe ndio unakosea sana, basi tu wakati wako haujafika! Endelea kupambana mkuu!
Kama kweli una mambo mengine sawa komaa huko! Ila sio kipimo cha kusema usiendelee huku! Uvumilivu unapimwa pia! Sikiliza sauti ya Mungu!
Kwanini umepangiwa dom, usaili sikuhizi unakufata kuanzia written mpaka Oral!
Siishi dom ila nimeshangaa kuwa kuna watu bado wanasafiri kufanya usaili, siku hizi naona kila mtu anafanya wilaya aliyopo!Au anaishi dom? Au karibu na Dom, Kwamba saiv hata kama unaishi mbali unaambiwa uende Dom kweli? 🤔
Namsemea huyo mdau anayesafiri kwenda dom unless anaishi huko ndio najiuliza why anasafiri kwenda huko na wakat saili unaenda sehem unayoishi ama karibu zaidiSiishi dom ila nimeshangaa kuwa kuna watu bado wanasafiri kufanya usaili, siku hizi naona kila mtu anafanya wilaya aliyopo!
Random questions yanakuwaga mkuuWakuu niulize et nikweli maswali oral 90% yanatoka kwenye duties zile za position?
Usijidanganyike, ukifika kwenye oral Utashangazwa hakuna swali hata moja za hizo positionWakuu niulize et nikweli maswali oral 90% yanatoka kwenye duties zile za position?
Kwenda Dom pako palepaleSiishi dom ila nimeshangaa kuwa kuna watu bado wanasafiri kufanya usaili, siku hizi naona kila mtu anafanya wilaya aliyopo!
Kufanyanini Mtumishi?Kwenda Dom pako palepale
Mkuu naona umeamka daku.Kufanyanini Mtumishi?
Hivi unajua nimechoka🥹 hata sihangaiki mimi🥲Mkuu naona umeamka daku.
Majina ya call for interview umeyaona?
Hapo ulipochoka ndio kuna ushindi.Hivi unajua nimechoka🥹 hata sihangaiki mimi🥲
Eti daku😆😆
Mi kobe la mchana..
Mara nyingi inakuwa practical and oral.Kufanyanini Mtumishi?
Dahh ushindi unachukua muongo mmoja🤦🏽♀️Hapo ulipochoka ndio kuna ushindi.
Nimefanya written na oral nilipo mara zote nilipoitwa kwenye usahili, labda practical!Mara nyingi inakuwa practical and oral.
Zile za written ndo unafanyia ulipo.
Bc itakuwa sio kwenye kada zote, ila mm yangu naona written ndo ulipo.Nimefanya written na oral nilipo mara zote nilipoitwa kwenye usahili, labda practical!
Wewe ni kada gani?Bc itakuwa sio kwenye kada zote, ila mm yangu naona written ndo ulipo.
Kama kuna uwezekano wa kufanya interview uwe unaenda tu kufanya hujui bahati yako itaangukia wapi unaweza pata maksi nyingi oral ukatupwa hata data base.Daa !! Aisee nimekata tamaa kabisaa
Hebu fikiria ,, nilihudhuria oral interview iliyoitaji watu 800 mwaka Jana na placement zilipoanza kutoka mwaka huu mwanzoni utumishi wakanipiga chini hiyo ..
Lkn mwaka Jana huo huo Kuna nafasi niliomba pia ambayo waliitajika watu 2 .. Sasa Jana naangalia account yangu ndiyo naona nimeitwa kwenye written interview wiki ijayo ..
Sasa kinachonikatisha tamaa kama nilihudhuria oral interview iliyoitaji watu 800 na bado nikakosa ... Hii ya watu wawilii ntaipata kweli kama siyo kupoteza muda na pesa ??
Apambane. Kuna uwezekano wa kufeli na kuachwa pia.Kuna dogo aliomba job yenye position 6 lakini wameitwa oral watu 3 je hii imekaaje?