HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Daa !! Aisee nimekata tamaa kabisaa

Hebu fikiria ,, nilihudhuria oral interview iliyoitaji watu 800 mwaka Jana na placement zilipoanza kutoka mwaka huu mwanzoni utumishi wakanipiga chini hiyo ..

Lkn mwaka Jana huo huo Kuna nafasi niliomba pia ambayo waliitajika watu 2 .. Sasa Jana naangalia account yangu ndiyo naona nimeitwa kwenye written interview wiki ijayo ..

Sasa kinachonikatisha tamaa kama nilihudhuria oral interview iliyoitaji watu 800 na bado nikakosa ... Hii ya watu wawilii ntaipata kweli kama siyo kupoteza muda na pesa ??
 
Sasa kinachonikatisha tamaa kama nilihudhuria oral interview iliyoitaji watu 800 na bado nikakosa ... Hii ya watu wawilii ntaipata kweli kama siyo kupoteza muda na pesa
Waombaji ni wangapi?
 
Daa !! Aisee nimekata tamaa kabisaa

Hebu fikiria ,, nilihudhuria oral interview iliyoitaji watu 800 mwaka Jana na placement zilipoanza kutoka mwaka huu mwanzoni utumishi wakanipiga chini hiyo ..

Lkn mwaka Jana huo huo Kuna nafasi niliomba pia ambayo waliitajika watu 2 .. Sasa Jana naangalia account yangu ndiyo naona nimeitwa kwenye written interview wiki ijayo ..

Sasa kinachonikatisha tamaa kama nilihudhuria oral interview iliyoitaji watu 800 na bado nikakosa ... Hii ya watu wawilii ntaipata kweli kama siyo kupoteza muda na pesa ??
Huwa wanaandika tu wawili ila wanachukua zaidi we nenda tu mkuu!
 
Kweli niliwaza hivi .. lakini swali jingine likaja Yani sijapata kwenye oral interview ya kutafuta watu 800 nafasi za ualimu afu nije nijipe matumaini kwamba nitapata kwenye written interview ya Examination officer iliyoita watu zaidi ya elfu Moja ili kupata watu wawili (2) ?? Ukweli kabisa not selected naiona wazi wazi hii hapa ..

Hapana,, mungu ana namna nyingi za kutupa ujumbe watu wake juu jambo Fulani .. nadhani hii pia ni ujumbe kwangu kuwa niachane na haya mambo ya ma interview ni focus na mambo mengine ...

Hii pesa ya nauli acha ninunue hata sharti la kitenge tu kuliko kwenda kuitupa huko DODOMA..
 
Pole, usikate tamaa kuna watu wamepambana hivyohivyo mpaka miaka 7 ndio wakapata, na haimaanishi kwamba wewe ndio unakosea sana, basi tu wakati wako haujafika! Endelea kupambana mkuu!

Kama kweli una mambo mengine sawa komaa huko! Ila sio kipimo cha kusema usiendelee huku! Uvumilivu unapimwa pia! Sikiliza sauti ya Mungu!

Kwanini umepangiwa dom, usaili sikuhizi unakufata kuanzia written mpaka Oral!
 
Nashukuru kwa kunitia Moyo lakini
Hebu angalia mwenyewe hapo juu

Umesema Kuna watu wamepambanana Hadi miaka 7 ndiyo wakaja kupata kazi .. ni wazi hata wewe umeona jinsi gani miaka saba ilivyomingi katika haya mambo ya kutafuta kazi ..

Lakin kwa upande wangu Mimi huu ni mwaka wa 10 .. nadhani muda umefika acha nikubali matokeo huenda sikuandikiwa huko
 
Nashukuru kwa kuniita Moyo
Hebu angalia mwenyewe hapo juu

Umesema Kuna watu wamepambanana Hadi miaka 7 ndiyo wakaja kupata kazi .. ni wazi hata wewe umeona jinsi gani miaka saba ilivyomingi katika haya mambo ya kutafuta kazi ..

Lakin kwa upande wangu huu ni mwaka wa 10 .. nadhani muda umefika acha nikubali matokeo huenda sikuandikiwa huko
Mwanangu unajiita mmea nikajua ngumu mwanzo mwisho(Joke)

Pole sana mkuu, me naona bado una chance ya kupata sababu mpk unaingia Oral ujue upo katika right truck.
KUkata tamaa ni DHAMBI

mimi nimesoma course ambazo hata tangazo la kazi kuliona ni mpka sijui kitokee nini. Lkn naamini ntapata huko.
 
Wakuu naombeni maswali ya usaili ya uhamiaji, nina shida nayo binafsi
 
Wakuu anayeijua vizuri taasisi wa jiolojia na utafiti wa madini anisaidie kuna dogo kaitwa interview
 
Nashukuru kwa kunitia Moyo lakini
Hebu angalia mwenyewe hapo juu

Umesema Kuna watu wamepambanana Hadi miaka 7 ndiyo wakaja kupata kazi .. ni wazi hata wewe umeona jinsi gani miaka saba ilivyomingi katika haya mambo ya kutafuta kazi ..

Lakin kwa upande wangu Mimi huu ni mwaka wa 10 .. nadhani muda umefika acha nikubali matokeo huenda sikuandikiwa huko
Duhh pole nina miaka mi3 tu tangu nianze kuomba huko, lakini nimechoka na sina mpango wa kuomba tena! Kwakweli miaka 10 si mchezo, kama kuna kitu unafanya bora uendelee nacho tu ila kama usaili utakuwa haukuingizi kwenye gharama yoyote heri usiache kwenda pia
 
Kwa maoni yangu hata kama usaili uko mbinguni wewe nenda sikuzote kizuri hakiji hivihivi
 
Imagine ndani ya miaka 10 unalipa gharama za kufanya usaili na hupati🥹
Najaribu kuvaa viatu sio rahisi..
 
Nisaidie mwangaza wa jinsi ya kujibu lile swali about yourself
Kwenye hili swali kwanza utaanza kama My is .......... , am a 20... graduate holding a Bachelor degree from university of .............. ukimaliza hapo kama una experience ya kazi utasema au kama huna basi utasema uzoefu ulioupata field. Utakuwa umemaliza usiongee vitu vingi.
 
Tunao tarajia kufanya interview 14/3/2026 kada ya server administrator tukutane hapa
1.maswali gani yanaulizwa?
2.what are possible practical question?
 
Daa !! Aisee nimekata tamaa kabisaa

Hebu fikiria ,, nilihudhuria oral interview iliyoitaji watu 800 mwaka Jana na placement zilipoanza kutoka mwaka huu mwanzoni utumishi wakanipiga chini hiyo ..

Lkn mwaka Jana huo huo Kuna nafasi niliomba pia ambayo waliitajika watu 2 .. Sasa Jana naangalia account yangu ndiyo naona nimeitwa kwenye written interview wiki ijayo ..

Sasa kinachonikatisha tamaa kama nilihudhuria oral interview iliyoitaji watu 800 na bado nikakosa ... Hii ya watu wawilii ntaipata kweli kama siyo kupoteza muda na pesa ??
Hakuna kukata tamaaa.
 
Back
Top Bottom