HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Habari, leo nmejiregister JF kwa ajili tu ya kuleta shuhuda hii.
Asante kwa waanzilishi na washiriki wote wa uzi huu. Umenisaidia na kunipa ujjasiri sana na hatimaye nimelamɓa asali serikalli kuu.
Niwatie moyo mtafutaji hachoki na akichokq jua kapata.
Mie ni class of 2016. Mambo yamebadilika sana ila Mungu amekuwa mwema kwangu.
 
Bila kumsahau wa Placement

Naona kusubir placement kama ushafanya oral ni afadhali maana chance ni kubwa kidogo.
Lkn kusubir kuitwa written ukale paper aaaghhh kuna kada lazima ule msuli mara kwa mara.. sasa utakula msuli lkn call for interview kimyaaaa mpk unagive up .
 
Huu mwezi call for interview ni za vyuo vikuu tu.
Huenda mwezi ujao zitaanza za kada tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom