John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,243
- 16,406
Kwakwel mshaur ajipange sana utumishi hawachekeshiMhh,
Wewe utakua mwl. Ndo hampendagi kusoma 😀
Kwakwel mshaur ajipange sana utumishi hawachekeshiMhh,
Wewe utakua mwl. Ndo hampendagi kusoma 😀
Akhaa! Sijawahi ata kuiwaza hii ajira! Siupendi kwa moyo wote😂Mhh,
Wewe utakua mwl. Ndo hampendagi kusoma 😀
Hahaha siwaogopi aisee, watu walikuwa wanakomaa tunakutana kwenye aptitude tests na hakuna mambo ya darasani!Kwakwel mshaur ajipange sana utumishi hawachekeshi
Chuo ushindani na mtu, kwenye ajira unashindana na watu tena ambao huwajui kabsa na weng wamepigiga wanasoma kama umbwaaaa maisha yawe nafuuAkhaa! Sijawahi ata kuiwaza hii ajira! Siupendi kwa moyo wote😂
Mbona chuo nilichosoma walimu wanasoma kushinda lawyers😂
Na masikini tunakuwaga na akili sana😂😂😂 ila uku kupigika ki-mbwa mpaka tuseme🙌🏾Chuo ushindani na mtu, kwenye ajira unashindana na watu tena ambao huwajui kabsa na weng wamepigiga wanasoma kama umbwaaaa maisha yawe nafuu
Kwanini watu wengi wanapenda kupata kazi serikalini wakati nasikia kuna taasisi binafsi zinalipa vizuri zaidi ya huko serikalini ?Na mimi nimepata kazi serikalini Mungu ni mwaminifu sana
Wewe ni ke au me?Sometimes google map hazisemi ukweli kama huwezi kujibu pita hivi ...nilitaka nijue kama halmashauri ipo mjini au vijijini sana baada ya kushuka kwenye bus
Kwanini watu wengi wanapenda kupata kazi serikalini wakati nasikia kuna taasisi binafsi zinalipa vizuri zaidi ya huko serikalini ?
Na huwa zinataka very very perfect candidates lolHizo Taasisi ni chache sana, Haziwezi ajiri kila mtu.
job securityKwanini watu wengi wanapenda kupata kazi serikalini wakati nasikia kuna taasisi binafsi zinalipa vizuri zaidi ya huko serikalini ?
Psrs hawatabiriki kabisa . Kuanzia kwenye adverts, interviews, mpk pdf.Naona halmshauri zimeanza kutoa shukrani huko za watumishi wapya hivyo hii inayoonesha Tamati ya pdf ..
Wale tuliokosa tusikate tamaa tujipange na upya tutatoboa tu siku Moja ..
Yeah !! Ila kwa picha linavyoenda nadhani wameshafunga hesabu..Psrs hawatabiriki kabisa . Kuanzia kwenye adverts, interviews, mpk pdf.
Kwa maana yake sisi tuliobaki kwenye data base tumefeli🙁Yeah !! Ila kwa picha linavyoenda nadhani wameshafunga hesabu..
Nan kakwambia upo database?Kwa maana yake sisi tuliobaki kwenye data base tumefeli🙁
Kwani we ulijuaje upo data base🤥Nan kakwambia upo database?
Kwa kweli nashindwa nijibuje maana hata namna ya kujua kama upo database au laah bado ni Siri Yao utumishi ..Kwa maana yake sisi tuliobaki kwenye data base tumefeli🙁
Jina la koziMi nmesoma social sciences