HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hatimae na Mimi pia nmelambishwa asali radar inasoma tabora,😎😎😁😁,
Mnaosubiri msikate tamaa hata siku moja,mnaojipanga kwa interview nawatakia kila la kheri,na mnaosoma nawatakia masomo mema, ipo siku na wewe utakuja kuandika nilichokiandika hapa😎😎✊✊✊🥰
Hongera sana
 
Haya sasa hivi kwa sisi hizo hela za kujikim inakuaje wajomba mana nasikia zina utata kutok tuambiane tusiweke expectations zisije zikatuua.
Wale wa simiyu tujuane ..Tukalambe asali vizuri ..
Heko Ajira portal
 
Haya sasa hivi kwa sisi hizo hela za kujikim inakuaje wajomba mana nasikia zina utata kutok tuambiane tusiweke expectations zisije zikatuua.
Hivi hela ya kujikimu ndio mshahara au ni kitu kingine ? Nimeona watu wanalalamika sehemu fulani
 
Pesa ya kujikumu ni pesa unayo pewa baada ya kurepoti kituo cha kazi maana unakuwa bado auna makazi ya kudumu ivyo itakusaidia wewe kununua mahitaji ya muhimu Kwa kipindi hicho kabla mshahara atujatoka ivyo malipo hayo yanaweza kuwa Kwa siku saba au kumi na nne ivyo 150k*7 au 150k*14 but inategemeana na budget ya mwajiri wako na kiwango cha elimu yako ulicho ajiriwa nacho na sio ulicho nacho
 
Sio sehem ya mshahara ila sijui mengine me nasikia tu ni haki yako kupewa.
Pesa ya kujikumu ni pesa unayo pewa baada ya kurepoti kituo cha kazi maana unakuwa bado auna makazi ya kudumu ivyo itakusaidia wewe kununua mahitaji ya muhimu Kwa kipindi hicho kabla mshahara atujatoka ivyo malipo hayo yanaweza kuwa Kwa siku saba au kumi na nne ivyo 150k*7 au 150k*14 but inategemeana na budget ya mwajiri wako na kiwango cha elimu yako ulicho ajiriwa nacho na sio ulicho nacho
Asante kwa ufafanuzi.
 
Hizo ndo pesa halmashauri inawaluzumu/Zungysha watu.

Wakurugenzi wengine bhana, Wanashindwa kupiga kwenye ushuru huko wanakuja kupiga hela za walala hoi 😁

Nadhani ifike mahara wakurugenzi wawe wanapigiwa kura tu na wanachi waone ilivyo ngumu kupata citizen verification
 
Back
Top Bottom