Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,761
- 24,725
God is good. Kama amejibu maombi yangu, atajibu ya wengine piaJamani namm nilifanya hii tarehe nimekaa roho juu juuš«
God is good. Kama amejibu maombi yangu, atajibu ya wengine piaJamani namm nilifanya hii tarehe nimekaa roho juu juuš«
Amen to thatšš½God is good. Kama amejibu maombi yangu, atajibu ya wengine pia
Nani kasema zimeisha?Naona Pdf za placement zimeisha Sasa waliopata hongereni sana na tuliokosa tusikate tamaa kujaribu Tena na Tena
Umejuaje kuwa zimeisha?Naona Pdf za placement zimeisha Sasa waliopata hongereni sana na tuliokosa tusikate tamaa kujaribu Tena na Tena
Kada ipi hiyo?Kwahiyo zile ajira za tarehe 16 october tuliiomba ni kazi bure? Walisema fake kwahiyo hatutakuwa shortlisted zipo kama mapambo tu?
MDAās&LGAāsKada ipi hiyo?
Kama ni za afya kuna watu wameitwa na wanaendelea kuitwa.MDAās&LGAās
Hapana sio za afya pekee, hizi ni zile zilitoka wiki ya uchaguzi nahisi ulizisikia kila kona ilikuwa ni kelele..Kama ni za afya kuna watu wameitwa na wanaendelea kuitwa.
Ajira ni geniune.
Ajira zote ni genuine. Acha kukatishwa tamaa, yaani psrs watangaze kitu fake halafu iweje?Hapana sio za afya pekee, hizi ni zile zilitoka wiki ya uchaguzi nahisi ulizisikia kila kona ilikuwa ni kelele..
Hapana sio za afya pekee, hizi ni zile zilitoka wiki ya uchaguzi nahisi ulizisikia kila kona ilikuwa ni kelele..
Sawa acha tusubiri!Ajira zote ni genuine. Acha kukatishwa tamaa, yaani psrs watangaze kitu fake halafu iweje?
Duhh nile kitabu sijui usaili ni mwakani au liniš oral tu nishapandishwa sukari mara 3 liwalo na liweš¤Kuna baadhi ya kada wameanza kuitwa, so wewe endelea kula kitabu
Duhh nile kitabu sijui usaili ni mwakani au liniš oral tu nishapandishwa sukari mara 3 liwalo na liweš¤
Nimefungua tuishen Kwaajir ya wasailiwa utumishiDuhh nile kitabu sijui usaili ni mwakani au liniš oral tu nishapandishwa sukari mara 3 liwalo na liweš¤
Duhh uko vzr, binafsi sina huo moyo maisha yangu yote ya shule mpaka chuo nasoma mtihani ukifikašHahah inategemea na strategies zako.
Mimi nilikua nikishabandika barua tu, naanza kusoma š.
By the time nakua shortlisted, nilishamaliza kujiandaa.
Weka link tuwnze kulipiaš¤£Nimefungua tuishen Kwaajir ya wasailiwa utumishi
Nafundisha physically maana natumia smart kitochWeka link tuwnze kulipiaš¤£
Duhh uko vzr, binafsi sina huo moyo maisha yangu yote ya shule mpaka chuo nasoma mtihani ukifikaš