HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sometimes google map hazisemi ukweli kama huwezi kujibu pita hivi ...nilitaka nijue kama halmashauri ipo mjini au vijijini sana baada ya kushuka kwenye bus
 
Sometimes google map hazisemi ukweli kama huwezi kujibu pita hivi ...nilitaka nijue kama halmashauri ipo mjini au vijijini sana baada ya kushuka kwenye bus
IMG_2371.jpeg
 
Naombeni kuuliza kwa mtu aliyeitwa kwenye usaili anaweza kubadilisha anuani? Maana yupo mkoa mwingine na kapangiwa mkoa aliojaza mwanzoni..
 
Pdf za kuitwa kazini zimepigwa hii january Back to back sio mchezo.

Muda wa call for interview sasa tukumbukwe na sisi wenye received.
 
Mkuu hakuna kanuni inayowalazimisha PSRS watoe matokeo ya oral na hata wakitoa haitakusaidia wewe.

Mimi nakushauri, kwa kuzingatia uzoefu wangu katika utumishi wa umma na nikiwa nimepitia kwenye panel ngumu, jiandae vizuri sana iliyobaki muachie Mungu.


PSRS wamenyooka sana tusio na connection ndio sehemu yetu ya kujidai.

Muda wako ukifika, utarudi hapa kutoa ushuhuda.
Kweli kabisa
 
Wakuu, Mungu ni mwema. Nilifanya oral June 10, 2025. Nikatumiwa barua siku tatu zilizopita ila nimeiona leo baada ya classmate kunipigia na kunipa hongera.

Nilikuwa nimekata tamaa kutembelea ajira portal. Yaani asingekuwa huyo classmate kunipigia, huwenda siku 14 zingepita bila kuiona.
 
Back
Top Bottom