John Sin
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,224
- 16,364
Wakat wa Mungu nimekaa mwaka mzima bila kufanya kaz aina yoyote ileHahaha saiv unakua active member wa uzi wa mshahara wa January mbona unachelewa
Wakat wa Mungu nimekaa mwaka mzima bila kufanya kaz aina yoyote ileHahaha saiv unakua active member wa uzi wa mshahara wa January mbona unachelewa
Hongera sana mtumishi mpya! Kwahiyo umepata ualimu au😅 tulikubaliana tukipata wote ndio tukaoane huko tandahimba😂Nashukur Mungu nimooo kwenye hz PDF ile ahad yang ya kukuoa inaenda kutimia
Jamani nmepata kazi huu ndo ushuhuda wangu
Jamanii😍 am so proud of you kwakweli ashukuriwe Mungu🥹Tangu mwaka 2024 nilipomaliza chuo nilisema humu kwamba kwa jinsi nilivomfatiliaj mzuri wa huu uzi toka mwaka 2021 naanza chuo sitakaa sana mtaani hasa kwa kada zetu wanazoajir watu wengi
Na kwel nimeweka jitihada na Mungu kajibu
Nlikua kila siku namwambia bi mkubwa nahitaji nafas moja tu nikufurushe na kwel sijamuangusha na dua zake kwangu zimejibu one attempt one goal
JF ni chuo tosha, ashukuriwe Mungu
Ule uzi wa Subaru naomba muutag na mshahara wa January mbona unachelewa
Ni ualimu wenyewe wanasema kidogo chetu ilimrad tumepga hatua moja inabidi tushukuruHongera sana mtumishi mpya! Kwahiyo umepata ualimu au😅 tulikubaliana tukipata wote ndio tukaoane huko tandahimba😂
Sasa sina kazi kwelii🥹
Nawe Mungu atakufanyia wepes na nakuombeaJamanii😍 am so proud of you kwakweli ashukuriwe Mungu🥹
Hongera sana sana sanaa!!! Mungu wetu ni muaminifu sana! Hakika ametenda, basi nasisi tuwe wavumilivu tu jambo letu lipo jinaamini huu mwaka ni wetu pia🥰
Sasa m/kiti ukipokea tu mshahara usisahau kutukopesha basi kamtaji mwanetu😅
Wachambe tu kwakweli ntakusapoti 💯 wanatua aibu sana ata vyuoni kukimbia muda wa lectures 😂😂😂Ni ualimu wenyewe wanasema kidogo chetu ilimrad tumepga hatua moja inabidi tushukuru
Lakn sitaacha kuwapopoa walimu nilipoa kwaajir ya maandaliz ya interview nyingne maana nilikua na received 5
Sasa nitakua na muda wa kuwachamba kwa nguvu zote
Amen! Amen!🥲🙏🏽Nawe Mungu atakufanyia wepes na nakuombea
Soma sana, omba Mungu sana, ukitaka na waganga wazur ninaoWachambe tu kwakweli ntakusapoti 💯 wanatua aibu sana ata vyuoni kukimbia muda wa lectures 😂😂😂
Tena saiz unapata hiyo posho ukishiba tu hakikisha unakuja kuneua humu😂
Sasa m/kiti mbona mi pia nna received 5 toka uhuru sioni dalili yoyote😢
Nimeokoka nampenda Yesu!Soma sana, omba Mungu sana, ukitaka na waganga wazur ninao
Utapata usjal
Endelea tu kuomba na kufanya saili, utapataHii ishu ya kufika oral na kuwa database naona kwenye kada yangu haifanyi kazi.
Mwaka jana October tulikuwa kama 20 hv oral Ila walitaka watatu.
December mwanzoni mwaka jana wakatangaza ile ile post wakihitaji watu wa5
December mwishoni wakatoa placement ya Ile oral ya October wale wale watatu
Kwa maana hy hakuna ambaye alikuwa database ndo mana wametangaza kutaka wengine ndani ya miezi miwili.
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaTangu mwaka 2024 nilipomaliza chuo nilisema humu kwamba kwa jinsi nilivomfatiliaj mzuri wa huu uzi toka mwaka 2021 naanza chuo sitakaa sana mtaani hasa kwa kada zetu wanazoajir watu wengi
Na kwel nimeweka jitihada na Mungu kajibu
Nlikua kila siku namwambia bi mkubwa nahitaji nafas moja tu nikufurushe na kwel sijamuangusha na dua zake kwangu zimejibu one attempt one goal
JF ni chuo tosha, ashukuriwe Mungu
Ule uzi wa Subaru naomba muutag na mshahara wa January mbona unachelewa
Hatua ya kwanza ya kushindwa pambano ni kua mlalamikaji na kuhisi kuna uhuni unafanyika.HIVI MARKS ZA ORAL INTERVIEW KWENYE MFUMO UNAANGALIZIA WAPI? YA WRITTEN UNATOKA MKEKA KWANI NA ORAL WASITOE MKEKA? UPIGAJI MTUPU.
Watu tumevurugwa mkuu acha tu aiseHatua ya kwanza ya kushindwa pambano ni kua mlalamikaji na kuhisi kuna uhuni unafanyika.
toa marks watu wajirithishe unaficha nini wakati hukufanya mtihani wewe? Ili mtu ajue alipata wapi na wapi ajirekebishe..sasa kwanini unatoa mtihani halafu matokeo unabaki nayo.Hatua ya kwanza ya kushindwa pambano ni kua mlalamikaji na kuhisi kuna uhuni unafanyika.
Asante mkuuHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Mkuu hakuna kanuni inayowalazimisha PSRS watoe matokeo ya oral na hata wakitoa haitakusaidia wewe.toa marks watu wajirithishe unaficha nini wakati hukufanya mtihani wewe? Ili mtu ajue alipata wapi na wapi ajirekebishe..sasa kwanini unatoa mtihani halafu matokeo unabaki nayo.
Mkuu hakuna kanuni inayowalazimisha PSRS watoe matokeo ya oral na hata wakitoa haitakusaidia wewe.
Mimi nakushauri, kwa kuzingatia uzoefu wangu katika utumishi wa umma na nikiwa nimepitia kwenye panel ngumu, jiandae vizuri sana iliyobaki muachie Mungu.
PSRS wamenyooka sana tusio na connection ndio sehemu yetu ya kujidai.
Muda wako ukifika, utarudi hapa kutoa ushuhuda.
hahahahahahahaha ! Kwanza umri hauruhu mstari mwekundu ulishapita, kwasasa napambania wanangu na wajukuu..kama ulibahatika shukuru Mungu lakini kunasehemu wanafikirisha wala usiwatete.Mkuu hakuna kanuni inayowalazimisha PSRS watoe matokeo ya oral na hata wakitoa haitakusaidia wewe.
Mimi nakushauri, kwa kuzingatia uzoefu wangu katika utumishi wa umma na nikiwa nimepitia kwenye panel ngumu, jiandae vizuri sana iliyobaki muachie Mungu.
PSRS wamenyooka sana tusio na connection ndio sehemu yetu ya kujidai.
Muda wako ukifika, utarudi hapa kutoa ushuhuda.
Recap:Umeongea jambo la maana sana, waongeze nguvu kazi