HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Acha tu nmekazana na maombi, labda ntapata🥺

Yani tangu dec naona wanapangia watu mpaka january mi sioni yangu😒 nna received 5 sasa hivi, nyingine ni za tangu mwezi wa 10😫
Oral umeattend ngap?
 
Wakubwa kuna watu wali-itwa kazini 31/12/2025 kada ya "Tutorial Assistant (ICT), ila nilipofuatilia wato hao 2 hawakuwepo kwenye orodha ya wale waliohudhuria waliofanya "oral interview". Hii imakaaje wakuu, mbona ni kama wamepitia mlango wa NYUMA asee.

Umefatilia wapi?

1: Weka tangazo lenye orodha ya watu walioitwa usaili
2: Weka tangazo la watu walioitwa kazini
 
Back
Top Bottom