HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
D1AB47CA-8DDE-44FF-BEE6-A617DF624745.jpeg

Jaribuni labda hii😁
 
Twende tukalime mashamba ya serikali mkuušŸ˜† na sijui wanalipa shingapi hizi kazi ngumušŸ˜…
Kuna PDF uko hujajiona? Mkuu mm sio zana za kilimo mm mwili wangu wa mapenz tu, kulima wawatafute wasukuma na wanyakyusa wao kufanya kaz ngumu kwao ni sifa
 
Nijione nimemfanyia nini mimi adminšŸ˜‚ dah sawa acha sie wasukuma twende kulima šŸš¶šŸ½ā€ā™€ļøšŸš¶šŸ½ā€ā™€ļø
 
Wakubwa kuna watu wali-itwa kazini 31/12/2025 kada ya "Tutorial Assistant (ICT), ila nilipofuatilia wato hao 2 hawakuwepo kwenye orodha ya wale waliohudhuria waliofanya "oral interview". Hii imakaaje wakuu, mbona ni kama wamepitia mlango wa NYUMA asee.
Maybe walikuwa kwenye database
 
Wakubwa kuna watu wali-itwa kazini 31/12/2025 kada ya "Tutorial Assistant (ICT), ila nilipofuatilia wato hao 2 hawakuwepo kwenye orodha ya wale waliohudhuria waliofanya "oral interview". Hii imakaaje wakuu, mbona ni kama wamepitia mlango wa NYUMA asee.
Nchi nzito hii mkuu.
NZITO SANA.
 
Back
Top Bottom