Kwani kwenye tangazo hukusoma requirements. Kama Pa ilikuwepo endelea kujiandaa. Kama haikuwepo usijisumbueWakuu hapo hiyo received ya human resources officer niliomba kwa ku edit course mimi nimesoma public administration lkn ilikua inagoma kuomba. Je nauliza nitaitwa usaili nianze kujiandaa au nipige chini tu
Mbaga Jr
Kozi iliyokuepo ni public administration and management not public administration but miaka yote PUBLIC ADMINISTRATION lazima iwepo na isivyo kawaida watu wa HRM wanaomba kazi za utawala wakati utawala atuwez kuomba za HRMKwani kwenye tangazo hukusoma requirements. Kama Pa ilikuwepo endelea kujiandaa. Kama haikuwepo usijisumbue
Niliwahi kufanya hv baada ya kuona kazi inaendana na nilichosomea japokuwa nilichosomea haikuwepo Bali kuendana tuu, wakanila kichwa.Wakuu hapo hiyo received ya human resources officer niliomba kwa ku edit course mimi nimesoma public administration lkn ilikua inagoma kuomba. Je nauliza nitaitwa usaili nianze kujiandaa au nipige chini tu
Mbaga Jr
The way utumishi wanavyojua kuzingua, hii wanaweza kukukataaKozi iliyokuepo ni public administration and management not public administration but miaka yote PUBLIC ADMINISTRATION lazima iwepo na isivyo kawaida watu wa HRM wanaomba kazi za utawala wakati utawala atuwez kuomba za HRM
Ngoja niache kusoma mpka ntakapoona call for interviewNiliwahi kufanya hv baada ya kuona kazi inaendana na nilichosomea japokuwa nilichosomea haikuwepo Bali kuendana tuu, wakanila kichwa.
Ww jiandae kwa loloteN
Ngoja niache kusoma mpka ntakapoona call for interview
Sasa ntakuwa napoteza muda tu mkuu bora nikomae na zinazonihusu direct zaid hizo HRM naona Public Administration wametutoa kabisa hata mahakama atujaitwa tumeliwa vichwaWw jiandae kwa lolote
YapSasa ntakuwa napoteza muda tu mkuu bora nikomae na zinazonihusu direct zaid hizo HRM naona Public Administration wametutoa kabisa hata mahakama atujaitwa tumeliwa vichwa
Jamaa wana roho mbaya kinouma hawa 😂😂😂
Hakuna pdf jombaaPDF Zinaanza lini
Imeisha hiyo mkuu watakuita kama hawaelewi elimu ya form four ndio elim mamaHivi wakuu kama Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti cha Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina yakavutwa ya form 4, nimeuliza admission wanasema wenyewe wanavuta ya form 4 na hamna shida.
Lakini mimi bado sina amani. Hii imekaaje wakuu? Sheria inasemaje na mtu aliebadili jina kisheria?.
Yaani niendelee na hilohilo la form 4 degree.?Imeisha hiyo mkuu watakuita kama hawaelewi elimu ya form four ndio elim mama
Hakuna kitu unaeeza fanya necta ni wagumu kubadili taarifa ni nomaYaani niendelee na hilohilo la form 4 degree.?
Duh poa mkuu, kazini mfano nataka kupandishwa au kuhama hawawezi shangaa yanatofautiana au huwa hawajali sana kwasababu ajira portal nilipita fresh.Hakuna kitu unaeeza fanya necta ni wagumu kubadili taarifa ni noma