HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
"Habari za kila mtu, naomba msaada wenu. Nimeona mwezi wa 5 kuna watu walifanya usaili wa nafasi ya Afisa Usimamizi wa Fedha Daraja la II kwenye Ofisi ya Bunge. Je, mtu anaweza kunipa ufafanuzi au kushiriki uzoefu wake kuhusu mtindo wa usaili, maswali au maandalizi yanayohitajika? Asanteni mapema!"
 
Kuna received ya curriculum developer kutoka TIE toka mwaka jana hadi saizi inasoma tu au watakuwa washaitwa mm nimeachwa
 
Wapendwa katika bwana najua kuna ma IT humu au yoyote ambae anajua hii issue msaada please.

Kuna rafiki yangu akipandisha maombi ya kuhama kwenye ESS hayaonekani kwa mkuu wake wa idara, shida inakua nini?

Mind you amekidhi vigezo vyote mana ana 5years and abover kwenye working station yake
 
Wewe binafsi ulifanikiwa kuhama uliko kuwa umepangwa mxanzo au mpaka miaka 3 ipite?
 
Hiyo siku nitakuta shortlisted for interview nitapiga msuli ambao sijawahi kuupiga popote pale kwenye hustle zangu za mashule shule.
 
Back
Top Bottom