HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nikisema walimu hawajitambui huwa namaanisha ona hii ng'ombe halaf ndo uipe mwanao imfundishe na hapa ndo ina degree 😄😄
 
Attachments

  • Screenshot_2025-11-19_170553~2.jpg
    Screenshot_2025-11-19_170553~2.jpg
    55.6 KB · Views: 26
Nikisema walimu hawajitambui huwa namaanisha ona hii ng'ombe halaf ndo uipe mwanao imfundishe na hapa ndo ina degree 😄😄
Wewe mbingu utaiona kwa view once mtu asiulize kama hajui next of kin je😂
 
Kuna watu humu wanajifanya wajuaji kupita kiasi inafika mahala mtu anaehitaji msaada anaambulia matusi kwenye mambo ambayo hafamu.
Lakini hao hao wanaojifanya wanajua kila kitu still wako jobless tena unaweza kuta more than 5 years.
Hii inafundisha kwamba huwezi kuwa unajua kila kitu
 
Unaweza kutupa uhusiano wa ujuaji na kuwa jobless ndugu mwalimu?
 
Vijana war Dar ujuaji mwingi na huna kazi, umebaki kulete negative energy hapa jamiiforum
Kuna mtu anaishi dar hana kaz? Wewe kwel huna akil ndugu mwalimu katka watanzania milion 60 walioajiriwa serikalin hawafiki 700,000 kwahiyo hao walobak wote hawana KAZI?

Muwe mnaakili, nishawah kukuomba hela ya kula kodi na chochote Mzee?

Acha uzwazwa ndugu mwalimu.
 
Sasa kama wewe sio jobless pro max mbona unakuwa mkali hivyo.
Kwani mm ndio nilikutuma uwe jobless peleka hasira zako huko
 
Taahira namjibu sms tatu tu, hii ndo ya mwisho.

Kuwa jobless sio shida kwangu wewe taahira maana Mm chuo nimemaliza 2024 halaf mwisho nafanya kaz sehemu nzur tena part time kuliko hiyo yako na nina uhakika nakupita take home kwa zaid ya hata laki japo kaz yangu sio ya kudumu.

Halaf uwe na akil sio kila asieajiriwa serikali hana kazi tupo 60+m serikali imeajir 600000+ tu

Na wasioajiriwa ndo maboss kuliko nyinyi watumwa wa halmashaur
 
Ahaha, kada za kupunguzia makali ya njaa hiyo mkuu ndio maana watu wake tupo hivyo BTW wazazi wetu wengine walimu mimi pia nina mengi ya kuisema kada hiyo ila inabidi niiheshimu mkuu .
Ndo hvo mm naongea kama motivational speaker ili kuna mambo tubadilike kama walimu sipo negative kabsa

Chuo tulisoma economic of education lecturer alikua anakandia walimu balaa mimi sifik hata 5% tena yeye mwenyw alianza fundisha secondary
 
Unakabia juu kinoma mkuu
Watupie taulo.
 
Taahira namjibu sms tatu tu, hii ndo ya mwisho.

Kuwa jobless sio shida kwangu wewe taahira maana Mm chuo nimemaliza 2024 halaf mwisho nafanya kaz sehemu nzur tena part time kuliko hiyo yako na nina uhakika nakupita take home kwa zaid ya hata laki japo kaz yangu sio ya kudumu.

Halaf uwe na akil sio kila asieajiriwa serikali hana kazi tupo 60+m serikali imeajir 600000+ tu

Na wasioajiriwa ndo maboss kuliko nyinyi watumwa wa halmashaur

Taahira namjibu sms tatu tu, hii ndo ya mwisho.

Kuwa jobless sio shida kwangu wewe taahira maana Mm chuo nimemaliza 2024 halaf mwisho nafanya kaz sehemu nzur tena part time kuliko hiyo yako na nina uhakika nakupita take home kwa zaid ya hata laki japo kaz yangu sio ya kudumu.

Halaf uwe na akil sio kila asieajiriwa serikali hana kazi tupo 60+m serikali imeajir 600000+ tu

Na wasioajiriwa ndo maboss kuliko nyinyi watumwa wa halmashaur
Kwa hizi hasira utakuwa niwale walimu wanaolipwa laki unusu part time halmashuri ya wilaya
 
Back
Top Bottom