HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Call for interview nyingi, ila Placement 🤣🤣
Wanaita vijana mithili ya tembo ila placement sisimizi, hawa jamaa wamekuwa wachumia matumbo tu wanajiwazia hao tu kulipana maposho unakuta ajira hizo hizo mwajiri huyohuyo wanafanyisha watu interview mara mbilimbili bila placement ata moja sasa unajiuliza unakosa majibu.
Na aibu hawana kuwasumbua watoto wa wachimba chumvi kwa ajira zao hewa
 
Bila shaka ww ni mwalimu
 
Hiki kipengele mmekiona?

Screenshot_20251208-161346.jpg
 
Hii nchi Vijana wanachezewa sana. Kuna Pdf utumishi wanayo Wakiona GenZ wanataka kukinukisha wanapost tu.
Eti Nafasa za Kazi pdf inapage almost 200 .Huu ujinga Huyu mtoto wa Kikwete angeachananao
 
Back
Top Bottom