HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa sababu ni moja ya taasisi ya Serikali ambayo inafanya kazi bila malengo.
Hawana mtu wa kuwawajibisha hata wakichelewa kuajiri.
Watoto na ndugu zao wote wapo kwenye ajira so hawaoni uchungu wowote kwa wengine kucheleweshewa ama kukosa ajira.
Viongozi wa nchi hii hawana uchungu na raia kukosa ajira ndio maana wapo kimya.
 
Wakubwa habar zenu, with all due respect, nlikua naomba kueleweshwa kidogo kuhusu hizi kazi za utumishi wa mahakama, mwezi June 2025 zilitoka kazi kutoka utumishi wa mahakama, na wakaita watu katika usaili mimi pia nilibahatika kuitwa niliomba kada ya assistant record management, ilikuwq ni written interview.

Majibu yakatoka ya waliochaguliwa kwenda oral mwezi August kama sikosei pia nilibahatika kuitwa kwenye oral interview baada ya muda majibu ya walioitwa kazini yakatoka August hiyo hiyo, lakini kwa bahati mbaya sikuwepo katika walioitwa.

Sasa mwezi October nilkapigiwa simu kutoka tume ya utumishi wa mahakama kuniambia kwamba wanataka kuniajiri na barua nitatumiwa kwa barua pepe yangu. Sasa swali langu ni kwamba

1) Inawezekana kuitwa kazini ilihari jina lako halikuweko kwa walioitwa kazini baada ya majina ya waliochaguliwa kutoka.

Naomba kuelewesha kidogo katika hili
 
Ndio inawezekana .Hapo uliwekwa kwenye Data base. Japo hiyo ya kupigiwa simu ndio naisikia kwako.
Huwa wanapanga tu moja kwa moja barua unaipata kwenye account yako
 
Utumishi wa mahakama huwa wanapiga simu
 
Ndio inawezekana .Hapo uliwekwa kwenye Data base. Japo hiyo ya kupigiwa simu ndio naisikia kwako.
Huwa wanapanga tu moja kwa moja barua unaipata kwenye

Ndio inawezekana .Hapo uliwekwa kwenye Data base. Japo hiyo ya kupigiwa simu ndio naisikia kwako.
Huwa wanapanga tu moja kwa moja barua unaipata
Aa sawa, maana nimepigiwa wakaniambia ivyo, ila nashkuru kaka kuwa kunifahamish na tayr wamenitumia leo hii barua ya kazi. Nashkur
Ndio inawezekana .Hapo uliwekwa kwenye Data base. Japo hiyo ya kupigiwa simu ndio naisikia kwako.
Huwa wanapanga tu moja kwa moja barua unaipata kwenye account yako
 
Wakuu habari
Naomba kuuliza, mfumo wa chet cha form4 na form 6 umeunganishwa NECTA moja kwa moja vipi bado kuna haja ya kuviverify ??
 
Sizani maana si saivi ukiingiza index number tayari taarifa zinavutwa automatic kutoka necta, lakini kwa uhakika zaidi ni Bora uwasiliane nao wao PSRS
 
60E49BC3-8BB0-4490-BAA7-70EB557A78DC.jpeg

Waungwana! Aliyeweza kuomba hii anieleweshe naona inanikatalia wakati nina vigezo!
 
Back
Top Bottom