Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,282
- 101,328
Am tayadii😩😖Kuwa Mvumilivu
Am tayadii😩😖Kuwa Mvumilivu
Tunatiana tu moyo lakin hawa watu kwa kweli wapo taratibu sana..Kuwa Mvumilivu
Jamani tusiombeane mabaya😅 Mi mwenyew alishaniudhi tena humu tu lkn sina habari naye.. itakavyokuwa na iwe..Huyo mwehu hawez pata kazi Niko nimekaa palee...huwezi kumtukana mtu kama Mshana Jr umuite FALA mtu ambaye amemzidi umri, kipato na kila kitu halafu ufanikiwe. Never.
Nakuamini mkuuUtumishi Jikoni Wanasema Chakula Kipo Tayar Muda Wowote Wakati Wowote Mkaribie Kwenye Meza
Endelea Kuwa MvumilivuNakuamini mkuu
Kwamba huyo mshana ni Mungu au?Huyo mwehu hawez pata kazi Niko nimekaa palee...huwezi kumtukana mtu kama Mshana Jr umuite FALA mtu ambaye amemzidi umri, kipato na kila kitu halafu ufanikiwe. Never.
Degreehivi qualificafions za TGS E ni zipi?
Thanks♥️, ndo inakua after 4yrs?Degree
SijajuaThanks♥️, ndo inakua after 4yrs?
yes kwa tamisemi ni miaka mi4, sjui idara zngneThanks♥️, ndo inakua after 4yrs?
🤣ah wapi ni mwendo wa kuhama halmashaur moja kwenda nyingineyes kwa tamisemi ni miaka mi4, sjui idara zngne
afu vp ulifanikiwa kuhama tamisemi?
Wewe huwez na hutokaa upate kazi nimekaa pale ....na ntakua natuma huu ujumbe hapa kila siku kila mara ...wewe tukana Hadi mavi yako uyale...kazi hupati ...Kwamba huyo mshana ni Mungu au?
Halafu ukiongea khs mm unitag ili nione ili nikupandie hewani chap kabla ungese wako hujapoa.
Ww pamoja na huyo mume wako wote mafala.
Kwa akili yako hapa Mm n jobless?Wewe huwez na hutokaa upate kazi nimekaa pale ....na ntakua natuma huu ujumbe hapa kila siku kila mara ...wewe tukana Hadi mavi yako uyale...kazi hupati ...