HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....

Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....

Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...

Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....

Am very happy am over the moon aiseh....

Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
Hongera sana mkuu
inaonesha ulipiga sana msuli na ulisali sana 😆
kila la heri mtumishi mpya
 
Ho
Mungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....

Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....

Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...

Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....

Am very happy am over the moon aiseh....

Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
Hongera Sana mkuu karibu kwenye utumishi wa umma
 
Ooooh jaman,am happy for you my brother,yaani ninavyokenua juu ya furaha,nafeel ile tabasamu ambayo uko nayo wakati huu asee😍,wishing you all the best,Mungu akuongoze vyema katika safari hii kaka,umetukimbia lakini natumai na sie tunafata soon kwenye hio asali,big up Engineer💪🏼
 
Wakuu naomba kuuliza hivi zile nafasi za TPA na TAEC walizotangaza Utumishi mwezi wa sita mwishoni mpaka wa saba mwanzoni deadline ilikuwa tarehe 09/07 kama sikosei usaili unaweza kuwa lini?Au kwa kukadilia tu wanaweza kuita watu lini kwenye interview/usaili maana miezi miwili sasa?
 
mwezi wa 12 au januari tareh za mwanzo
 
Ooooh jaman,am happy for you my brother,yaani ninavyokenua juu ya furaha,nafeel ile tabasamu ambayo uko nayo wakati huu asee😍,wishing you all the best,Mungu akuongoze vyema katika safari hii kaka,umetukimbia lakini natumai na sie tunafata soon kwenye hio asali,big up Engineer💪🏼
Amen amen mkuu sijalala wala kula vyote vimepotea ...kweli ipo amani inayopita amani zote...sio kwa kukata tamaa kule mikando yangu yote nilipigika kasoro mmoja na ndo umenipa furaha ..Mungu mwema sana na nawaombea wote mpate humu ndani .... wakati wa Mungu ni wakati sahihi
 
Mungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....

Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....

Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...

Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....

Am very happy am over the moon aiseh....

Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
Mungu Mwema kila wakat Hongera nasisi tupo tunasubir muda wa tumaini letu
 
Amen amen mkuu sijalala wala kula vyote vimepotea ...kweli ipo amani inayopita amani zote...sio kwa kukata tamaa kule mikando yangu yote nilipigika kasoro mmoja na ndo umenipa furaha ..Mungu mwema sana na nawaombea wote mpate humu ndani .... wakati wa Mungu ni wakati sahihi
Hongera mkuu, usingizi hauwezi kuja maana mtu unakua huamini ukilala lazima utaota
 
Back
Top Bottom