BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,999
Nuclear physicsKada gani mkuu
Nuclear physicsKada gani mkuu
Kwa akili hizi hutokaa uone jema na utapigika sana huko utumishi.Wanaoishia Oral ndio wanaumia sana kuliko wanaoishia written maana oral unachoma hela nauli yako kwenda kurudi chakula maradhi unakaa siku 2 au 3 una-risk mpaka uhai wako kwenda Dodoma unasafiri umbali mrefu kisha PDF linatoka jina halipo
Mimi nipo kwenye electronics and instrumentation. Nahisi tutakua woyeNuclear physics
Njoo pm mkuu.Mimi nipo kwenye electronics and instrumentation. Nahisi tutakua woye
Dua, nying mkuu tutatoboa mbona.Mimi nipo kwenye electronics and instrumentation. Nahisi tutakua woye
Hii auditorium udom ule ukumbii mmmh kuna siku watu watajichanganya wauzurie 10 cha moto watakionanyingine hii hapa: utaskia wee mwenye shati lenye maua kule nyuma tumesema pens down we bado unaandika tutakupa matokeo yako hapahapa...🤣🤣🤣🤣View attachment 3463983
Wewe umejiajiriWakishaita waliowaita na wewe haupo katika walioitwa ndio imeisha hio nenda kajiajiri
Mahakama watu wameitwa kazini tangu wiki iliyopita hukuona mkeka mkuu?Wale wa Atcl na tume ya utumishi wa mahakama vip Kuna taarifa yoyote?
Nimekuona, vip kuhusu Atcl?Mahakama watu wameitwa kazini tangu wiki iliyopita hukuona mkeka mkuu?
Kwa kweli sijuiHivi TAEC zinaendeshwa na Utumishi wenyewe?
Hayupo serious kabisa na jobless [emoji2]Admin Wa Utumishi Leo Ameleta Mkeka Page Moya Af Yudizimu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho mapumziko tutaonana jumatatummhh hili pdf la leo kwakweli hadi nimeishiwa pawa..
Jobless wiki ndy tumeimaliza kesho mapumziko mpk jumatatu
Habari wanajukwaa. Mapambano yanaendelea , ukitoka kwenye placement unakuja stress za kupigiwa simu kuanza kazi.Jobless wiki ndy tumeimaliza kesho mapumziko mpk jumatatu
Hahahahaha nakufatilia pesa za kujikimu aloohHabari wanajukwaa. Mapambano yanaendelea , ukitoka kwenye placement unakuja stress za kupigiwa simu kuanza kazi.
Kama ulikuepo, wenzetu wamepata mwezi ulipita sisi tusubiri mwezi huu.Hahahahaha nakufatilia pesa za kujikimu alooh
Kaka we acha tu yan hapa tunaangalia simu kila mda lkn wapKama ulikuepo, wenzetu wamepata mwezi ulipita sisi tusubiri mwezi huu.