The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,250
Dah huu Uzi bado unaishi!!
Umetusaidia wengi huu uzi enzi hizo kupeana hints za saili na kila kitu
Umetusaidia wengi huu uzi enzi hizo kupeana hints za saili na kila kitu
Vip mkuu ushalamba asali.Dah huu Uzi bado unaishi!!
Umetusaidia wengi huu uzi enzi hizo kupeana hints za saili na kila kitu
Hata kama deadline ilipita kama mchakato wa shortlist hukuanza na akapakia vyeti vingne ataitwa tuUnaitwa mkuu labda ingekua deadline ishapita, maana kwenye kukagua shortlist pale ndo wanaangalia na vyeti
Sasa utajuaje mchakato wa shortlist umefanyika au bado?Hata kama deadline ilipita kama mchakato wa shortlist hukuanza na akapakia vyeti vingne ataitwa tu
Jf ipi imefungiwa ?Wanafungia JF na sijapata kazi serikalini sijui itakuaje
Kama umepangiwa kupata utapata tu hata wafungie anga la nchi.Wanafungia JF na sijapata kazi serikalini sijui itakuaje
kesho watatoa pdfJobless siku imeisha bila pdf leo kesho tena siku
Sijui wamemalizakesho watatoa pdf
NdioIvi tutorial assistant ukifika oral zinakua na database? Wakuu
Mkeka umetoka page moyaNo call for interview.
No pfd.
No job.
wanaangalia kila kitu boss kuanzia nywele hadi viatuWakuu sijawahi kuhudhuria interview za utumishi, hivi dress code kwa mwanaume ni lazima uvae shati uchomekee 🙂